PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,279
Habari wakubwa,
Mimi ni kijana mdogo wenu (jinsia Me) mwenye umri wa miaka 25. Nilibahatika kupata ujuzi katika SME's as Credit Officer mwaka mmoja na nusu, na vilevile Customer Relations Officer mwaka mmoja. Elimu yangu ni Stashahada ya ugavi.
Mimi ni kijana ninayependa kujifunza kila wakati na ndio maana huwa najitolea sana ili nifahamu zaidi. Nilijitolea as Loan Officer na nina ujuzi sana sana, ila wakubwa nimegundua ni vigumu kutumia ujuzi huu kujiajiri sina mtaji huo wa kuifungua microfinance.
Kikubwa kama awali nilivyosema, napenda kujifunza na katika moyo wangu Mungu wangu shahidi ninaipenda sana biashara ya mobile money transfer (M-Pesa,Tigo Pesa, Airtel Money, Ezy Pesa nk) Kwa sasa sina mtaji ila sihitaji mtaji.
Kwa sasa nahitaji msaada wako mwenye kuweza kunisaidia angalau niweze kupata ujuzi tu kwani nipo tayari kujitolea mpaka pale nitakapo fahamu Kwa miezi kadhaa angalau unifikirie kuishi kwangu.
Mimi ni muaminifu sigusi mali ya mtu bila ridhaa yake..Sihitaji kufanya kazi bank kwasababu ujuzi wa bank hautonisaidia baadae kwenye maisha yangu.
Asante na Ubarikiwe