huyo hakupendi kabisa na pengine amepitwa na wakati,yeye bado yuko analogia na ile wengine tuko digitali,hadi fb hataki huyo ni burula 2 acha nae
kila ukicheka utamu,kila ukilia utamu
Kiukweli viongozi wetu wanafanya kazi kwa kunyenyekea hasa kiongozi wetu Rais jk,leo tar 3 mh harison ambae mimi ndie na mheshim katika utendaji kazi wake,leo hii katika kushelekea miaka 36 ya ccm amehutubia wanakigoma lakini hutuba yake imejaa mh mwenyekiti!!kwa namna hiyo basi inaonyesha...
we kilaza kweli-kweli,unashindwa kujitambua mpaka sasa uko mwaka gani,cheki huo mwaka wako uliotuandikia! mimi nina wasiwasi na wewe maana inaonekana umekurupuka tu na hata hujui kinachoendelia,,,
"think twice before you done"
umeishaonaa tatizo ni kwamba watu hawajui kuwa yeye ndie mumliki wa hiyo hotel!!!!lakin sanjali na hayo kwa nn msafara mkumbwa wa magari na ile hali ni mambo ya private????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.