Recent content by Asterisk

  1. Asterisk

    Magari moja kwa moja toka Japan

    Spacio new model ya 2002, bei gani.. na imetembea km ngap!?
  2. Asterisk

    LAPTOP DELL MPYaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!1

    Laki 350000 duh,, ni sawa na 350,000,000,000
  3. Asterisk

    Bamaga Traffic lights

    Nikweli aisee.. Kuna logic error katika zile taa za bamaga,, mim mwenyewe nimeshaexperience mara kibao..
  4. Asterisk

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Kwanin usichangie thread walizoanzisha wenzako?? Unakuja kuanzisha thread zaidi ya masaa mawil baada ya mwenzako kuanzisha, waheshimu wenzako.. RIP S.M.
  5. Asterisk

    kazi kweli kweli

    Kucheza gololi
  6. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    Angalia PM mkuu,,
  7. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    sayansi napataka but kodi ndefu sana hiyo
  8. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    Duh hapo parefu sana
  9. Asterisk

    natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo 1. Sinza 2. Kinondoni 3. Sayansi 4. Makumbusho 5. Mikocheni Iwe ina sitting room, bed room, jiko, choo, na ka store kadogo. Bajeti yangu ni kati ya 200K na 250K Nipo serious ni PM au piga 0757579684
  10. Asterisk

    salamu kwa mwalimu

    Tena wameiuza nchi na zaidi mpaka mifupa yako wanaiuza (kutembelea kaburi lako lazima utoe hela)
  11. Asterisk

    natafuta kazi waungwana

    Omba interns
  12. Asterisk

    Nahitaji mtu wa kupamba

    Husika na title, natafuta mtu wa kupamba, nitakua na event alhamic na ijumaa, ni PM kama unajihusisha na hizo shughuli.
  13. Asterisk

    Nauza kiwanja kwa bei poa

    Kimepimwa boss?
  14. Asterisk

    Hili linawezekana Tanzania tu!.....

    Hhaa, hhhaa tanzania tuu utayakuta hayo
  15. Asterisk

    Hivi ushawahi mchukia mtu?

    njoo tuu madam, ila sijui utatumia vigezo gani kuangalia.!!
Back
Top Bottom