Magari moja kwa moja toka Japan

Magari moja kwa moja toka Japan

Nipe bei ya
-Verossa nyeusi-
-Wizard-
-Bighorn-
-Noah ya kizamani 4wd good looking-
Pia nipe utaratibu wa kuipata gari!
I mean how long?terms payment?

Isuzu wizrd ipo for only 11.5M at 0689341445
 
mkuu siwezi kusema ipi ni bei ya chini kabisa maana inatofautiana kulingana na stock iliyopo muda huo. mfano sasa ni hiyo carina (7.5m). vizuri ukasema wewe ungependa gar gani tukupe bei.
 
mkuu toyota duet ya mwaka 2002 cc 1000 na nissan march ya mwaka 2004 au 2002 cc 1200 ni sh ngap?
 
Nahitaji mitsubishi canter au fuso iliyo na body ya freezer kwa kubeba samaki, inawezekana? Na nipe bei yake mkuu!
 
Spacio new model ya 2002, bei gani.. na imetembea km ngap!?
 
Nahitaji mitsubishi canter au fuso iliyo na body ya freezer kwa kubeba samaki, inawezekana? Na nipe bei yake mkuu!

Mkuu unaweza kupata fuso ya mwaka '99 cc12020 kwa FOB $28,500. Hii ina maana transport costs na taxes ni juu yako mkuu! Niambie mkuu....
 
mkuu natafuta rav 4 za zamaan 5 doors ambayo iko kwenye hali nzuri nitapata kwa 8-10m?

Duu upo chini kidogo mkuu, hebu panda panda kidogo maana tulizonazo saiz zina cost 17m. Ni za '98 2000cc!
 
Mkuu unaweza kupata fuso ya mwaka '99 cc12020 kwa FOB $28,500. Hii ina maana transport costs na taxes ni juu yako mkuu! Niambie mkuu....
FOB?
Then transport,taxes ni juu yake?
Hiyo siyo FOB bali ni CIF.
 
Back
Top Bottom