Nauza kiwanja kwa bei poa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza kiwanja kwa bei poa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Livanga, Oct 7, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wandugu nauza kiwanja chenye ukubwa wa mt 25x30 kipo kata ya Goba kitongoji cha kulangwa along barabara ya kwenda wazo. Kinafikika kwa njia nyingi kupitia mbuyuni, goba( tangi bovu au mbezi ya kimara). Bei milion 8 tu.
  Kwa mteja aliye serious tu nipigie namba 0714500004
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimepimwa boss?
   
 3. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hakijapimwa lakini ni salama ndugu.
   
 4. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Pima kwanza!!
   
 5. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Napenda sana kupima tatizo vigezo vya nchi yetu uwezi kupima eneo dogo kiasi hicho. Na ingependeza sana kama serikali ingekuwa inapima then sisi wananchi tunauziwa na kulipa gharama za upamaji hukohuko kwani isingekuwa gharama kama sasa na mpangilio wa mji ungekuwa mzuri sana.
   
Loading...