Recent content by assynaity

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimejiajiri kama Blogger, hata nawe unaweza jaribu

    Mimi mwenyewe ninataka nifungue blog lkn tatzo kubwa nililonalo sina vifaa alafu na faida sijajua inapatikana vipi,nimejaribu kuwaulizia baadhi ya mablogger kwa hapa wilayani kwetu hawataki kunambia ukweli na ni watu wangu wa karibu naomba unisaidie ndugu
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wadada walioolewa tu: Aina ipi ya mchepuko ni bora?

    Hahahahaha nmecheka sana
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni rafiki yangu nimrudishie pesa yake?

    Hilo ndo la muhimu akutumie alafu unitumie mimi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    We yunus acha kupotosha watu mkutano uliiisha saa kum na mbili na dk kadhaa,alafu suala la kuzomea tumewazoea ni kawaida yao kuzomea na suala la nyomi jiulize wamepitia kata ngapi kuzindua miradi?wamepita kila kata kuangalia utekelezaji wa ilani ya chama na kule wamekuta watu kila...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Ss unachokikataa ni kipi siku zote bukoba wanatumia kijukwaa ila siku hiyo walitumia meza angalia picha vizuri na usibishi kwa kitu ambacho kipo na cha kweli na suala la T-shirt sio wote waliozipata zilizotoka kwa sasa zimetoka kidogo na watu ni wengi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Walianza ziara asubuhi katika kila kata zote zilizopo ktk jimbo la bukoba mjini na kila sehemu walipokwenda walikuta watu kwa ajili ya kufungua miradi maalum inayoendelea kujengwa na ktk baadhi ya maeneo hakukuwa na taarifa ya ujio wao kutokana na zoezi la uandikishaji unaoendelea ila kwa ufupi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Mm nadhan watu wa Lindi wanafanana sana
  8. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Yatakuwa ya mbeya kweli make mtu mzima tena mwanaume unajishaua hivo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Kangi lugola kala maharage ya wapi sijui
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ashuhudia mjamzito akizidiwa foleni kujiandikisha BVR; atoa maagizo

    Aseme ni kituo gani kati ya kata hizi tatu zinazoendelea na zoezi alipokuta hilo tukio la sivyo ni muongo
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke Muislam anatafutwa

    Mwezi mtukufu umekaribia kumbe?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

    Jeshi la wananchi wa Tanzania
  13. A

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto ana nini mpaka umati kama huu unaenda kumsikiliza?

    Hili ndilo jibu sahihi kwa muuliza swali
  14. A

    JamiiForums Tanzania Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

    Labda mganga wake kamuagiza afanye hvo
Back
Top Bottom