- Thread starter
- #21
Hahahaaaa kama ni kweli basi nyie mmechanganyikiwa.Kama kweli unampenda bora uchepuke na wife wako tu, Kama Mimi ninavyofanyaga nikimisi kuchepuka nabadili line nampigia wife tuonane hotel fulani tunayamaliza huko kila mtu anarudi nyumbani kimpango wake