Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,487
Kwa kuongezea mleta mada achana na mume wa mtu.
Masingle tuko kibao humu.
Mkuu umeachika?
Cc ladyfurahia
Kwa kuongezea mleta mada achana na mume wa mtu.
Masingle tuko kibao humu.
Hahahaahahahahahahaha!!! JF always huwa haichoshi bwana!!!Akisoma atakupa jibu zuri zaidi si yupo humu!!
habari zenu wakuu,
naammini mko poa kabisa na mnaendelea na mishe kama kawaida
sasa katika kipindi ambacho nimekuwa mpweke akatokea mkaka mmoja kiukweli nimefahamiana nae humu humu jf,
tukawa tunachati sana mwishowe tukahamia whatsup ni mkaka very smart,very sweet msukuma, tatizo ana mke ndoa bado changa sana,nikamuonea huruma nikaanza kumsifia mkewe kuwa mzuri na bla bla kibao ili aniheshimu, basi ikaenda siku moja nikamit nae it was so fantastic japo tulionana kwa mda mchache sana coz me nipo nje ya dar kikazi. tukafurahi kuonana then huyoo akarudi zake town.
baada ya hapo tukaendelea na mawasiliano mylove nyingi, mara baby na mengineyo kama wapenzi vile hata sielewi mie!
iko hivi huwa sipendi kuwa na urafiki usiokuwa na faida i mean kwamba niwe na rafiki ambaye mwisho wa siku hanisaidii lolote even mawazo ( basi juzi nmekaa nikasema nimjaribu, hiyo text ( mylove nisaidie laki 3 i wll refund you) akajib ok babylove latter kidogo nikasema ok.
baada ya saa moja akanitumia ile hela kiukweli sikuwa na shida nayo! sasa hapa nawaza sijui nimrudishie au nipotezee
em kwa situation kama hii ingekuwa wewe ungefanyaje,
lengo langu nilitaka nijue tu kama ni rafiki anaweza nisaidia na kunijali siku niko na shida!
Ha ha ha madira na kibao cha NASEMA NAWE kitahusuSio msukuma wangu huyoo maana mi bado ndoa changa we umukagame wewe kaa mbali ntakunyoa nywele zote na kisu alaaa
Heaven on Earth umemuona umukagame teh teh teh cc Evelyn Salt
kwani ingekuwa hana lakini anaupendo wa kweli asingetuma ungejudge hana upendo?Kirohoo safiii mrudishiee
Then unamwambia nilikua nakujaribu kama unaupendo wakwelii . Lol
Hutakiwi kumrudishia wala hutakiwi kukaa nayo, ntumie mimi
amejitoa humu nilimshauri tutoke kaideactivate ac yake kabisa
Hutakiwi kumrudishia wala hutakiwi kukaa nayo, ntumie mimi
Yaani Mpaka nahisi kichefu_chefu yani we mwanamke ni nyoka tena Cobra, mie sioni huyo ndugu alipokosea!! kama umesema ni rafiki yako kwanini asikuazime kama anayo?? halafu ulimshawishi atoke humu ili uje utuambie huu upuuzi? unatudanganya huna shida nazo mbona unaonyesha unanjaa wewe? eti "mie sitaki rafiki asiyekua na faida kwangu" we ni pasua kichwa aisee, i wish ningekua huyo jamaa mbona ungenikomaa! yani laki 3 zinakuwashaa, unaona kama umepewa dunia
Hahahaahahahahahahaha!!! JF always huwa haichoshi bwana!!!