Si
Sibishi najua hatujawah kuwafunga darajan Toma 2012 pie bila mou kuwapiga Mara Mbili 2-0 na last match 2-1 mungekua hamjawah kufungwa na United ila mourinho ndy anawamudu.... Msitegemeee penalty badae lazma mkalishwe... Mkipona draw
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Mourinho alifichua kuwa alipokea ujumbe wa imani naye kutoka bodi ya Manchester United kabla ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle.
nimeipenda hii nampenda sana mourinho ila philosophy ya kupack bus kwasasa kikosi hakija kamilika... hivyo tufumuke au asepe aje zizzu kikosi kitamfaaa sana...
sio wote .wanaofanikiwa ila biashara ndy hutajirisha zaid kuliko kuajiriwa maana hautatajirika atatajirika mwajiri wako....
pia ile philosophy ya kushindwa kielimu huongeza juhudi zaidi na huondoa aibu hivyo kazi yoyote unaweza fanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.