Recent content by AskariKanzu

  1. AskariKanzu

    Kwanini nyumba nyingi kwa wangoni wanawake ndio waendeshaji wakuu wa familia?

    Katika pitapita huku na kule nikaibukia ungonini, huko wanawake ndio wanastendia show katika familia wanaume huko hawana sauti.
  2. AskariKanzu

    KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

    Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
  3. AskariKanzu

    Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

    Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
  4. AskariKanzu

    I shot the sheriff but i didn't shot no deputy

    All around in my home town they're tryin To take me down They say they want to bring me in guity for the killing of the deputy. For the life of the deputy Sherrif John Brown always hated me for what I don't know Everytime I plant a seed he said kill it before it grow he say kill them before...
  5. AskariKanzu

    WILLOW SMITH ON VIA IG

  6. AskariKanzu

    AUGUST 15

    We welcome you back
  7. AskariKanzu

    THE REASON I USED TO HIDE SCHOOL EVENTS FROM MY PARENTS

    Me as a father on my way to embarrass my children at school meeting.
  8. AskariKanzu

    Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  9. AskariKanzu

    Will I survive till the morning to see the sun? Please lord forgive me for my sins cause here I come

    Take me away from all the pressure and all the pain, show me some happiness again I'm goin' blind. I spend my time in this cell, ain't livin' well I know my destiny is Hell, where did I fail? My life is in denial, and when I die Baptized in eternal fire, I'll shed so many tears. Lord, I...
  10. AskariKanzu

    What's your favorite movie and why?

    Kwangu SISU ni movie pendwa inaelezea refusing to give up, determination, extreme willpower and female empowerment.
  11. AskariKanzu

    Mwanaume unaomba vipi picha ya mwanaume mwenzako

    Kiukweli nimekufa moyo. Iko hivi ata kama una rafiki yako hamjaonana miaka buku usiombe picha yake iyo ni laana,unaomba picha eti umuone tu asa inakusahidia nini. Kama mtu hajataka kuposti picha yake kausha unaomba picha ya nini?
  12. AskariKanzu

    Ni njia gani unapenda kuonyeshwa upendo

    -Maneno matamu -Matendo -Zawadi -Muda wa pamoja -Kuguswa
  13. AskariKanzu

    Haijalishi katumika au katembea na wangapi kama sasa anakupenda wewe nini kingine unataka?

    Wewe sio wakwanza wala wa mwisho kukupenda au wapekee kwake. Alishawai kupenda kabla pia anaweza kupenda tena. Lakini kama sasa hivi anakupenda wewe nini kingine unachotaka? Yeye sio mkamilifu wewe pia. Nyie wote wawili hamuwezi kuwa wakamilifu. Alikuwa na nani hapo zamani au atakuwa na nani...
  14. AskariKanzu

    ALIYEMTONGOZA KWA MARA 42 KAKUBALIWA

    Bob Marley anakuambia ya kwamba "If she's amazing. She won't be easy If she's easy, she won't be amazing If she worth it, you won't give up If you give up, you're not worthy.. Truth is Everybody is going to hurt you, you just Gotta find the ones worth suffering for. Mwanamke huyu akataa...
Back
Top Bottom