Umesema vizuri, ndoa ya kwanza mliforce, na hii umeona penzi.
Usisite, olewa. Ukifika mtii mumeo, penda ndugu zake.
Wanaume hatufanani, tuvumilie, utii, weka mazingira safi, akiongea onyesha kuheshimu maoni/maelekezo yake hata kama unaona ni pumba, kisha kwa kutumia hekima mueleweshe kama...
Achana naye! Ana stress za hali ngumu ya kiuchumi. Hajui wapi ataingiza kipato halafu anaona post ya mtu kapandishwa daraja.
Mtu mwenye uhakika wa "kula", akisikia jirani yake "anakula" wala hapati tabu.
Ila ambaye hana uhakika wa "kula", hata akisikia halufu ya chakula kutoka kwa jirani...
Ipo. Mama yangu mzazi alizaliwa September 25, 1941 na kufariki September 25, 2007.
Alikaa hospital akipata matibabu kwa siku 59. Siku ya birthday day tulimwimbia akiwa kitandani na kumwekea maua na kadi za kumpongeza. Tulipoondoka tu, akafariki. Tukarudi kulia, wakati dakika chache tulifurahi...
Huu uzoefu ni wa wapi?
Ni huko arabuni na uhindini(Bara Asia) au kwa hapa Bongo?
Kama ni kwa hapa Bongo, je una hakika wakiwa huko kwao hali ndiyo hii hii?
Kuna kisa kimoja cha miaka mingi, familia moja ya ki-baniani(tuliwaita Mabaniani), walisema kwao wamekatazwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi...
Wazo ni zuri na hata humu wapo walioshauri. Issue ni kupata hiyo gari wakati unapoihitaji.
Mfano, mwezi ujao mwishoni nitakapopata hiyo pesa, sijui kama itatokea nikapata gari inayouzwa itakayoendana na bajeti yangu. Na mm sintataka kukaa na hiyo pesa kwa muda mrefu, yaweza tokea mengine...
Duh! Ahsante Boss. Hapa nimepata elimu ya kutosha, mambo mengi nimejifunza mengine hata sikuwa nahisi kama yapo kwenye magari.
Japo na mm nimehamia kwangu ni nje ya mji, lkn naweza kuliinua kama ulivyoshauri.
Ahsante.
Maneno ya kutia moyo. Nimeanza kutafuta kama wiki tatu zilizopita, na pesa naitegemea mwishoni mwa Oktoba.
Kwa wiki hizo tatu, nilizunguuka yard na websites za wauzaji, ndio nikaishia kwa sienta na porte.
Sasa naufanyia kazi ushauri niliopewa humu, naweza kupata gari nyingine nzuri.
Bajeti ya 9M nitaimudu.
Lkn kwa maelezo yako, kama nimekuelewa, hiyo gari naweza kuipata nje ya show room. Hapa sasa upate dalali wanaomuogopa Mungu, vinginevyo!!
Na unahisi hicho kiasi kinaweza kucover malipo yote na kuimiliki au nitegemee costs nyingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.