Safi mkuu....vipi raumIFAHAMU GARI AMBAYO INAENDANA NA KIPATO CHA UCHUMI WA KATI
TOYOTA SIENTA
SECOND GENERETION
Toyota sienta ni gari ambalo kwa sasa watanzania wengi wameanza kulifikiria kutokana na hali ya uchumi imekaza sana halafu pia linatoa ushirikiano wa kutosha hhasa kipindi hiki cha uchumi wa kati lipo katika kundi la magari mvp ,gari hili ni dogo kwa umbo likiwa na urefu wa 5.5 m....likiwa na milango 5...