Recent content by Askari_Mwana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Bifu 30 nzito zilizoutikisa muziki wa kizazi kipya Tanzania

    "Amani kwako Kaka Voda Milionea mwambie mdogo wake aache poda ale mmea" -JayMoe "Amani kwako Kaka Voda Milionea mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea" -Langa Jay Moe vs Langa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Paah Vs Mchuzi wangu ipi Collabo kali?

    Ukisikia Paah vs Mimi ndio zinafaa kupambanishwa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi madereva huwa hamtuoni kwenye zebra tukisubiri kuvuka?

    Dereva akiona raia anavuka basi na yeye anaongeza speed badala ya kupunguza, hili jambo huwa linanishangaza sana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Unaionaje show ya Mr Right?

    Startimes
  5. A

    JamiiForums Tanzania Unaionaje show ya Mr Right?

    Ile ya Kenya ni nzuri zaidi maana wako real sana ukilinganisha na ya Bongo
  6. A

    JamiiForums Tanzania January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    Mbuzi wa Bwana Heri, shamba la Bwana Heri!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi rekebisheni hili

    Mara nyingi huwa wanatumia neno "ONYESHA" badala ya neno "ONESHA" kwenye kurasa za gazeti lao.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

    POS ni mchezaji machachari tu, aende tu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito wa Majizzo kwa Kitenge, Hando, Bdozen na Oscar Oscar

    Masanja kaziba nafasi ya Kitenge vizuri kwenye kusoma magazeti, pia Twalibu Muwa kaziba vizuri pia nafasi ya Oscar Oscar katika Jioni ya Leo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Yanga watafika fainali CAFCC

    Huyu Far Rabat yupo juu ya Wydad na Raja, unasemaje wa kawaida?[emoji15]
  11. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

    Mtake radhi Kabza de Small
  12. A

    JamiiForums Tanzania Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

    Kibwana Shomari na Ibrahim Baka, wote naona wanakula bechi Yanga
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kikosi kikipangwa namna hii Vipers hatoboi!

    Inasababishwa na team kukosa ushirikiano ikiwa haina mpira, baadhi ya wachezaji hawafanyi majukumu yao ipasavyo
Back
Top Bottom