Recent content by askari mpole

  1. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Baba Nasri

    HEKAYA ZA BABA NASRI Stori ya kusisimua: Shamsi ni kijana aliyezaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini..ni mtiifu mpenda maendeleo, anasifika kwa heshima na upendo mtaani kwao. Kama vijana wengine shamsi alikuwa na matamanio ya mwili hivyo alihitaji kuwa na mwenza maishani. Kutokana na sifa...
  2. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Msaada nifanyeje sm yangu inashindwa ku install Apps

    chief mkwawa, nami nina tatizo linalofanana na hilo..simu yangu aina ya samsung galaxy tablet inashindwa kudownload app kutoka playstore..tatizo lilianza baada ya mdogo wangu kuingiza pattern rock mara nyingi hivyo simu kujifunga na kudai gmail account, kwa bahat mbaya nilikuw nimeisahau gmail...
  3. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Mambo matano muhimu yaliyochangia kushindwa kwa Lowassa

    criminally....lowasa fisadi aliyetukuka
  4. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Lowassa hana budi kukubali matokeo

    atapewa ubunge wa kuteuliwa kama mbatia
  5. askari mpole

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    kumbe yesu ndio mungu?.....mlokole kwenye ubora wake
  6. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri makabidhiano ya cheti Diamond Jubelee

    utawaona siku ya kuapishwa kwa magufuli
  7. askari mpole

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Safari yenu imefika mwisho leo 29.10.2015 - Kingunge, Sumaye, Lowassa kutimka

    na wewe kumbe uliwachagua!...sasa kinachokuuma nini?
  8. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    mkuu one mobile imekubal...asante...ila ina tatizo la kustop application...
  9. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    mkuu one mobile imekubal...asante
  10. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    mkuu nimeset hivi na bado imegoma....nimewek tigo na bado imegoma pia
  11. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    asante mkuu ngoja nijaribu
  12. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    natumia voda mkuu...ila hata nilipochange laini na kuweka tigo bado mambo yaleyale
  13. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    ziko poa....maan naingia internet kama kawaida..au kuna ziada ya hapo mkuu
  14. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    nimejaribu kuclear mkuu lakin imekataa....vp nawez download apk ya google?
  15. askari mpole

    JamiiForums Tanzania Retrieving error

    habari wakuu, natumia samsung galaxy tab..kuna mtu alichezea pattern mara nying na kusababisha simu kujifunga kwa kutaka gmail, nilikuw nimesahau password za gmail hivyo nikaamua kuireboot simu..basi tangu hapo nikiingia kwenye playstore kupakua application inaleta jibu hili "error...
Back
Top Bottom