askari mpole
Member
- Mar 24, 2014
- 19
- 2
HEKAYA ZA BABA NASRI
Stori ya kusisimua:
Shamsi ni kijana aliyezaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini..ni mtiifu mpenda maendeleo, anasifika kwa heshima na upendo mtaani kwao. Kama vijana wengine shamsi alikuwa na matamanio ya mwili hivyo alihitaji kuwa na mwenza maishani.
Kutokana na sifa zake mtaani kwao shamsi alihitaji msichana mrembo mwenye heshima, stara, na nidhamu kwa kila mtu..Mungu si athumani Jicho la shamsi lilitua kwa binti mzuri aliyefahamika kwa jina la husna.
..Husna ni binti mrembo aliyezaliwa mwanzoni mwa miaka ya tisini huko mkoan Tanga, alipata elimu yake ya msingi ktk shule ya mkwakwani, badae akahamia mkoani morogoro baada ya baba yake kuhamishwa kikazi, hivyo masomo yake ya sekondari alipata forest hill sec. School.. alikuw ni mrembo mwenye umbo la wastani, mtaratibu na macho ya aibu kama alivyoimba bwana nassibu abdul nyie mnamwita diamond platinum.
Macho yanagongana:
Mtaa mzima ulijua ujio na ugeni wa husna mtaani, alikuwa tofauti na wasichana wengi wa pale kuanzia tabia, uzuri na heshima kwa ujumla...wavulana wengi walijaribu kumtongoza bila mafanikio, shamsi alisikia habari ya husna akajaribu kumtafuta ili ajionee uzuri wake....siku moja shamsi alikuwa anaenda dukani, ilikuwa mishale ya saa 10 jioni.
Kama kawaida vijana na smartphone shamsi alikuw buzy na kuchati bila kuangalia mbele kwa umakini, mara ghafla alijikuta akigongana na dada mrembo alyekuw anatokea dukani "mungu wanguuu" alisema dada kwa sauti ya kuchukia..wote waliangaliana usoni, binti alikuw husna, wote walihisi ther something happens in their hearts..."am sor" alitamka shamsi kwa sauti ya kubabaika.
Itaendelea