Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,203
- 4,111
Wanajukwaa niwiki moja toka sm yangu ianze kushindwa kuifadhi Apps, ninapo kwenda kwenye play store nina sarch vizuri taab ni kuhifadhi inatafuta kwa mudamrefu mpaka nachoka, Lingine nikuwa App ya JF haifunguki kabisa ikapelekea ku unstalling kisha nianze upya imekuwa ngum kuirudisha. MSAADA