Recent content by Ask me

  1. Ask me

    Je, Ni sahihi kwa mwanmke kuanza kumtunza mume kabla ya ndoa?

    Mimi binafsi nona ni sawa tu kufanya huo usafi,kufua etc kama moyo wako un akutuma kufanya vyote hivyo na una nafasi.Maani isije ikawa we mwanafunzi unnacha vipindi eti unawahi kudeki kwa mwanaume.au hujaenda kazini unawahi kufua...Lakini vile vile kufanya uko usafi ni ishara ya upendo tu na pia...
  2. Ask me

    Msaada namna ya kupika meat balls

    Asante sana mpezi Lizzy
  3. Ask me

    Msaada namna ya kupika meat balls

    Habari wapishi wazuri, Naomba kufundishwa namna ya kupika meat balls
  4. Ask me

    Je, umehawahi kupata kazi kupitia tovuti hizi, Brighter Monday na Grab your job?

    Ni kweli kazi nnayofanya mimi sasa ivi, niliipata kupitia zoom,ila nlivoona tu hiyo post nilimtafuta rafiki yangu ambaye anafanya kazi ili shirika na kumuuliza je kuna post kama hiyo imetangazwa?aliponiambia kweli post ipo niliomba na kweli ndo kazi ambayo kwa sasa ninayo.... Kikubwa nadhani pia...
  5. Ask me

    Natafuta shamba la kununua Arusha

    Habari...Natafuta shamba la kununua Arusha lenyewe ukubwa kuanzia nusu heka na kuendelea. Napendelea sana maeneo ya Ngaramtoni hasa Redio habari maalum... Kama unafahamu muuzaji ama dalali wa kunipatia nnachotaka please usiache kuni PM Thank you
  6. Ask me

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Anaweza akawa ana shida ya hormonal imbalance so akimbie hospitali mara moja na assijimezee tu dawa adi atakapopewa na daktari kwa kuhakikusha kuwa hana ujauzito.........................
  7. Ask me

    Natafuta mke wa kuoa 2016 mwezi wa nne

    Ivi kweli jamani maeneo unayoishi,unayopita,au maeneo uanyofanya kazi umekosa mwanamke ambae anakidhi vigezo vyako?? Sijui ni umekata tamaa au laa ila nikutie moyo mkuu fanya sana ibada mke si kitu cha kusema unatafuta kwa style hii...Tunaweza kukusaidia apa alafu akawa sio chaguo...
  8. Ask me

    Nahitaji jina la shamba langu

    EWGM's how much inagharimu?? Duh kazi kweli kweli apa nlimtarajia kupata msaada wa bureeeeee
  9. Ask me

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    HAHAHAHAAA Mimi day one ilikua natoka kilimanjaro kwenda Mwanza na Precision air,sasa ninejipanga kabia mabegi yangu maana before safari nlishapewa miongozo na waru mbalimbali. Nafika KIA nabanana na watu wanaongojasame ndege from nairobi,Nilikaa na mwarabu mmoja ye ndo kwanza kavaa simple...
  10. Ask me

    Nahitaji jina la shamba langu

    Habari, Nashukuru nimefika mahala sasa naona matunda ya shamba langu la mifugo... Nimefanikiwa kufuga kuku,mbuzi,ngo'mbe,kondoo na nguruwe na bata wachache. Natumia fursa hii kuomba ushauri wenu kuhusu jina linaloweza kuleta mvuto kwenye bidhaa za shambani kwangu kwani sasa nimeanza kufikiria...
  11. Ask me

    Ushauri: Milioni nne, bishara ipi yafaa Dodoma?

    Kwenye Biashara hakuna kuzuga if unataka kufanya biashara kwa uhakika angalia kwa makini biashara gani unataka kufanya huku ukitazama faida na hasara zake pamoja na matarijio yako ya baadae. Biashara inaanza kutoka sehemu moja kwenda nyingine,sasa ukiita ya kuzugia nashindwa kuelewa unataka...
  12. Ask me

    Wapi nifungue account ya Biashara?

    Thank you kijana13 Naweza nikapata kwako mawili matatu juu ya faida ulizopata kama wewe ni mmoja wa wateja wa Equity
  13. Ask me

    Wapi nifungue account ya Biashara?

    Habari, Nimefanya uchunguzi wangu japo kwa kiasi kujua wapi naweza kufungua account ya biashara kwa ajili ya biashara yangu ya ufugaji.Nimeangalia sana NMB na CRDB naona kuna wingi kubwa wa watu huko hivyo kuzungushana pamoja na rushwa vimeshamiri. Okay swali langu kwenu ni BENKI GANI...
  14. Ask me

    Harusi ni mipango yako binafsi, kwanini uninunie?

    Mimi nachanga tena kwa ka furaha ila nachanga kwa mtu mwenye impact kwangu namaanisha uzito wa huyo mtu kwangu...mfano nyie mnaobisha hamchangi je kama ni harusi let say ya mtoto wa mama yako mdogo ambae mmecheza na kukua pamoja kama na ndugu na kama marafiki hutochanga???Au mi mwenzenu sijui...
  15. Ask me

    Ndevu na Vinyweleo kwa Wanawake husababishwa na Nini...????

    Amanijua kwa knowledge chache biliyonayo mimi huyu dada anasumbuliwa na tatizo la kutokubalnce kwa hormones za kike na kiume,namaanisha hormones za kiume zipo juu kuliko za kike..... Kuna ugonjwa unaitwa Polisystic ovarian sydrome(anakua na kama vivimbe vidogogodo kwenye ovaries) ambapo dalili...
Back
Top Bottom