Recent content by ASIE NA MAKUU

  1. A

    Kulikoni hadi sasa ITV hakuna habari?

    Imeanza dakika ya 15 na kama umefuatilia vizuri wameomba radhi kwa kuchelewa
  2. A

    Kulikoni hadi sasa ITV hakuna habari?

    Nipo naagalia ITV kama kawaida yangu ili niweze kupata habari, ajabu hadi sasa ni dakika ya 14 hakuna habari bali ni matangazo tu na hakuna tangazo la kucheleweshwa kwa habari. Je, Kulikoni? Au leo hakuna habari
  3. A

    Wanaoomba mkopo kwa sasa ni wanafunzi wa elimu ya juu tu au hata wa vyuo vya kati?

    Wanabodi, Nimekuja kwenu nikiwa naomba kufahamishwa kama kichwa cha habari kinavyojieza hapo juu. Nakumbuka katika bajeti hii ya 23/24 ilitoa kipaumbele kwa wanafunzi wa mchepuo wa Science watakaokuwa wamepangiwa vyuo vya ufundi (Vyuo vya kati) kama MUST, DIT na ATC kuwa watasoma bure,na wale...
  4. A

    Tozo miamala ya simu hazijafutwa, tuache upotoshaji

    Ni kweli nimetoa leo tigo pesa nimekatwa makato ya tozo
  5. A

    Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

    Kama Rs Berkane alishinda kombe la shirikisho msimu uliopita na msimu huu kacheza shirikisho CAF .Je! CAF na Azam federetion ni ipi yenye hadhi
  6. A

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Sasa mbona DITSO walikanusha ,japo umri umeenda sio kigezo cha kuacha kuomba kwa sababu tatizo la ajira serikali inalijua hivyo mimi wa miaka 30+ nitaomba tu
  7. A

    Ajira mpya za TRA

    Ahaaa kumbe
  8. A

    Ajira mpya za TRA

    Kila kitu kutokana na maelekezo yao nimefanya ,kama wewe utakuwa umefanikiwa nisaidie tafadhali
  9. A

    Ajira mpya za TRA

    Nimejisajili ,ila changamoto sioni pa ku-attach certificate na hata ukijaribu kuomba inakurudisha home page yao ya kujaza detail zako . Sasa sijui nakosea wapi, naombeni mnisadie
  10. A

    Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

    Pole sana ,nami nimepitia hicho kikombe cha kupoteza mke wangu kipenzi. Ameniachia mtoto mmoja wa mwaka mmoja, hakika ni maumivu yasiyo na mipaka
  11. A

    Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

    Hapana tuko na Sudan ya Juba (Sudan kusini) japo ilikuwa nchi moja kabla ya kutengana mwaka 2012 kama sijakosea mwaka
  12. A

    Sasa hivi tuko kwenye bunge la bajeti 2023/2024 ,je na lile linalokaa mwezi 6 huwa ni la nini?

    Ikumbukwe sasa hivi manunuzi yote serikalini yamesimama kwa sababu ya mafungu kuisha hivyo kupelekea kusubiria hadi mwaka wa fedha wa unaokuja. Na mwaka wa fedha wa serikali ni kuanzia mwezi wa saba pale bajeti kuu itakapokuwa imepitishwa . Sasa swali langu ni hili ,hii bajeti inayojadiliwa...
  13. A

    January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

    Daaah sasa tumechoka na sababu zao ,umeme ukiolsekana utasikia vyanzo vya maji vimepungua, maji yakiongezeka ndio tunasikia kufumua grid na grid ikikamilika tunarudi tena kupungua kwa maji kutokana na tope kujaa kwenye mabwawa . Yaani tumechoka sasa sijui ni lini hivi vyote vikawa stable Sent...
  14. A

    Mabehewa ya SGR kwenye reli ya MGR

    Ni kwa nini viongozi si wakweli na wanatudanganya ili iweje? Hakuna sehemu hata moja nimewahi kusikia kuna mabehewa 22 yananunuliwa kwa ajili ya MGR sasa hii tenda ya haya 22 yametoka wapi? Na mbona mlisema ni ya SGR tena safari ya ndefu ,hapa hawakujipanga vizuri kusema uongo. Eti ununue behewa...
Back
Top Bottom