Recent content by ashuu6

  1. A

    Mambo Muhimu kwa Msichana/Mwanamke Kuzingatia Kabla na Baada ya Kuolewa

    shukrani tized nimetoka na kitu mada nzuri!
  2. A

    Kwani Love Connect ni jukwaa la nini?

    wadau wa jf wangekuwa kama wewe naamini midhaha isingekuwepo kabisa!
  3. A

    Nahitaji binti mwaminifu na mwenye mapenzi ya dhati

    Mmmmmhh!unataka kucheza na hisia za watu wewe umri huo?!i see bado mdogo.
  4. A

    Need somebody

    wa kubana mbavu upo??haahaahaa!
  5. A

    Ulizani nitaoza!

    Ukisema cha nini!wenzio wanasema watakipata lini!
  6. A

    Natafuta Mchumba Mwalimu

    Alikufanya mock kuelekea necta!
  7. A

    Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

    HAAHAAAAAHAAA!!akhsante yethuuu!!wajameni kwakweli kuna watu na viatu!
  8. A

    Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

    Natamani nimjue huyo mdada!mwee jamani aliyeunganisha hizo herufi aninong'oneze!
  9. A

    Je Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

    miguno muhimu kwakweli,hasa pale ukishikwa ukashikika yaani full miguno!!!
  10. A

    Msaada

    Mmmmhh!kazi unayo mdada!
  11. A

    Msaada

    wewe ndio umesema kweli watu8,naimarika sana na ushauri wako upo vema sana!vp hana mafaile huyu?
  12. A

    Only serious single ladies, natafuta mke, a wife for my life

    mmmh!umejieleza vizuri lakini shida inakuja watu hawapo serious humu!midhaha tu wameendekeza na kupotezeana muda,inakera sana!
  13. A

    Wasichana haya sio mambo badilikeni

    kwahiyo wapo humu?una hakika watapata habari na kuifanyia kazi humu??vp wewe sokx na kwapa safi?
Back
Top Bottom