Kijacho Jr
Member
- Dec 23, 2014
- 53
- 14
- Thread starter
- #21
Diploma,degree au awe na master
Jamani nieleweni ngazi yeyote ya elimu.. Siangalii G.P.A
Diploma,degree au awe na master
4.0 na kuendelea
Malengo ni Kuishi tu kinyumba na mtoto wa watu?
Waalimu wote dar wameolewa. Ungehitaji mikoani, ungeopoa fasta then unamhamishia dar
Awe ame specialize kwenye masomo yapi?
usiangalie kaz angalia tabia ya mtu
suende ofisi ya mkurungezi wa elimu atakupa mwanamke
Mwalimu wa vidudu
Hapo katika taasisi ufanyayo kazi WaPo uwatakao, ungetoa tangazo kwenye ubao....
kama issue ni mwalimu jaribu kuwasiliana na ndugu yangu Superbrand atakuelekeza...
na mimi{me} nataka mwalimu
Hahaha we mchokozi mimi mwalimu wangu alikuwa ana nipima kasema
Mitihani hii ni ya masomo ya science sana mamichoro hivi mi nilisoma business shycom ndo maana nimefail
Yeye anaweza faulu ma reproduction sijui,Almentary canal huko na mengine
mnataka mfungue tuition centre au?
mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi dsm ni pm kama upo tiyari...
jipange mkuu...hata hapa wapo maecher utawapata
A na B yote sawa.kazi ipo, yeye ni mwalimu sehemu kubwa ya siku yake imezungukwa na walimu, anaacha kutupa nyavu huko anakuja huku jf, wanawake jf ndio sie wenyewe wa huko mtaani, tena afadhali kudate na mwanamke ambae unamfahamu hata kabla hujamtongoza kuliko habari huku pm, huku ni kama bahati nasibu, ukilamba dume bahati yako ila ukilamba galasa, usrudi kulia, watu mnatafuta matatizo wakati mwingine.
NOTE: mimi najiuliza sana hili swali, inamaana huku jf ndio kuna wanawake wepesi wepesi au ndio kwenye wanawake wenye sifa hadi watu kukimbilia huku?