Recent content by Ashelimo

  1. A

    Mababu Mko wapi?, Upotoshaji huu Umezidi!!!

    Alicho Andika Huyu jamaa Hapa Jamii forum ni upotoshaji kwa vijana na watu wengine ambao huheshimu uzoefu wa wengine. Jamaa Kaandika haya:- "Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu.. Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1... Wenye nguvu za kiume...
  2. A

    Eti nyie wa Bongo movies na BongoFlava Na hili mnasubiri na Hili Ulaya waanze?!

    Santuri, Kaseti floppy, CD na sasa DVD na USB flash ndio njia ambazo kazi ya Sanaa zimekuwa zimekuwa zikiuzwa na kuhifadhiwa. Japo hizo za mwanzo zimepitwa na wakati Shukrani kwa wenzetu wa Ulaya na Asia kwa tecnoloja Hizo. Hivi kwa mfano yani Mkaja na Flash simple ambazo zinasecurity ambayo...
  3. A

    Kama ungempata yule mdada mwenye kila kitu kama google wakati ule uko sexual active...

    Hivi ushaa wahi kuwaza kuwaza! Yule mdada ambaye enzi zile mzuka wa mapenzi unaanza kutawala maisha yako na ukamuona kama google kwani kila unachotafuta unaona anacho angekuwa anakuja ghetto Maisha yako ya Mapenzi yangekuwaje? Kuna umri wa kuwa uko active kimapenzi. Hisia pia ziko juu na mawazo...
  4. A

    Is this A fact?

    Kabla ya uungu wa Yesu tupe kidogo kuhusu uungu wa Mungu. Mwanadamu kuwa na ancestor mmoja na Manyani na hii ya Mwanadamu na udongo ipi inakaribia Logic
  5. A

    Is this A fact?

    About the writer, Read kutuhusu page in tendeeblog.wordpress.com
  6. A

    Is this A fact?

    Historical figure who chose apocalyptic mean, Just as I did to be the hero of the God
  7. A

    Is this A fact?

    Nitachagua cha kuamini katika ushahidi na vyanzo vyako
  8. A

    Is this A fact?

    Ulete kisha nitakuwa na uhuru wa kuamini nini?
  9. A

    Is this A fact?

    Na hii ya kutokana na Udongo? Unaweza dadafua? Mimi na wa Shangaa wote
  10. A

    Is this A fact?

    Wakati waislam wakiwashangaa wakristo kuamini kwamba yesu ni Mungu. Wote wanakubaliana kwamba mwanadamu anatokana na Udongo
  11. A

    Ukimpinga Allah katika hili unaweza leta furaha maishani mwako

    Allah Anasema, Msiamini Katika dhana, Kwani Dhana ni Dhambi na uwongo Mtupu. Uhalisia hauko hivyo, Unatakiwa uwatilie mashaka watu wote Cause uhalisia ni kwamba wachache wanajali wewe ni nani, Wengi wanajali watapa nini katika kuhusiana na wewe Kitu cha kwanza unachotakiwa kuwajipanga pindi...
  12. A

    One of Man himself useless fact

    Mwanamke Mzuri wa kazi gani wakati watu tunafanya mapenzi gizani
  13. A

    Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

    Wali, maharage, nyama kavu, juice ya Jero, na tunda moja mbili Harmony is my wife
  14. A

    Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

    Ok man, kuna tabia za kawaida, Neurotic behavior na Psychotic behavior. Tabia ya kawaida hutafsiriwa na jamii yako. Najua ukweli wangu, najua ukweli wenu. Nahakikisha kwamba tabia yangu inabadikika kulingana na Mazingira, wakati na Na nina deal na nani. So bye bye Mental wards. Sehemu ambayo...
Back
Top Bottom