Is this A fact?

Is this A fact?

Mimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu Hata binadamu anatokana na udongo siamini

Kwa taarifa yako tu ya kisayansi, elements zote zinazofanyiza mwili wako zote zinapatikana kwenye udongo, kutia ndani calcium, potassium, nitrogen, sodium chloride, sulfur, titanium, magnesium, iron, silicon, zinc, phosphorus, carbon, oxygen, hydrogen, etc etc. Sasa siyo coincidence kwamba Biblia (sijui Kuruani) inasema mwanadamu alitokana na udongo.

Tafakari sana juu ya hilo na kuelewa maana ya mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi, na huenda ukauona ufalme wa Mungu
 
Na hii ya kutokana na Udongo? Unaweza dadafua?
Mimi na wa Shangaa wote
Wewe unawashangaa kwa lipi maana wao huwa wanaeleza kwanini wanapinga au kushangaa uungu wa Yesu,sasa wewe unachowashangaa ni kipi?
 
Kabla ya uungu wa Yesu tupe kidogo kuhusu uungu wa Mungu.

Mwanadamu kuwa na ancestor mmoja na Manyani na hii ya Mwanadamu na udongo ipi inakaribia Logic
 
Kwa taarifa yako tu ya kisayansi, elements zote zinazofanyiza mwili wako zote zinapatikana kwenye udongo, kutia ndani calcium, potassium, nitrogen, sodium chloride, sulfur, titanium, magnesium, iron, silicon, zinc, phosphorus, carbon, oxygen, hydrogen, etc etc. Sasa siyo coincidence kwamba Biblia (sijui Kuruani) inasema mwanadamu alitokana na udongo.

Tafakari sana juu ya hilo na kuelewa maana ya mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi, na huenda ukauona ufalme wa Mungu

Kwa hiyo mpaka sasa ufalme wa Mungu siwezi kuuona???😂😂😂😂😂😂

Ilikuwa ni suala la kunielekeza tu sio kuandika kama unanishushua....nyie mtakaoona huo ufalme ndio mnatakiwa mtutoe sisi tuliopo gizani
 
Wakati waislam wakiwashangaa wakristo kuamini kwamba yesu ni Mungu. Wote wanakubaliana kwamba mwanadamu anatokana na Udongo
Unajua maana ya fact? Yes this is a fact, but is this fact true? ungeliuliza hivyo!
Juma alimpiga Ashelimo. This is a fact! Is this fact true? ...subject to strict proof thereof -mnasemaga mnaojiita Mawakili Wasomi...
I stand to be corrected
 
Mimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu

Hata binadamu anatokana na udongo siamini
Ukristu ni pamoja na kuamini kuwa YESU ni Mungu. Unaposema wewe ni mktristu na huamini kuwa YESU ni Mungu inashangaza
 
Imeandikwa wapi kuwa ukristo ni pamoja na kuamini yesu ni Mungu?
 
Hakika, katika vitu baadhi ya wakristo hubugi ni kuamini kwamba yesu ni Mungu

Kwakweli huenda hata yeye anatushangaa

Mimi ni muumini wa kusoma sana biblia, sijawahi kuona mstari unaompa bwana yesu uungu, hata yeye japo alikua mfanya miujiza ila hakupenda watu wamuone ni zaidi ya aliyemtuma.
Unajua ni kwanini yesu alijificha, hata kujiita mwana wa Mungu/masihi hakutaka???
 
Kwa hiyo mpaka sasa ufalme wa Mungu siwezi kuuona???😂😂😂😂😂😂

Ilikuwa ni suala la kunielekeza tu sio kuandika kama unanishushua....nyie mtakaoona huo ufalme ndio mnatakiwa mtutoe sisi tuliopo gizani
Sio kukushushua, haikuwa lengo langu. Lakini ukweli ni kwamba usipoamini maandiko ambayo yaliandikwa kwa uelekezi wa Mungu then unaweza kuukosa ufalme, na wewe hapo ulinipa impression huamini Biblia inachosema, kuwa mwanadamu alitokana na udongo ndio akawa animated. Nilifanya assumption kuwa kuna mengine pia unaweza ukawa huamini. Kwani lilikuwa hilo tu?
 
Mkuu ulishahudhuria debates?

Kwenye mijadala kama hii watu tunaopinga tunatakiwa kuwepo...inawezekana kiuhalisia nikawa siamini hiyo ya binadamu kutokana na udongo mana sio kila mtu ni msomaji wa biblia nikiwemo na mie japo najua somewhere kwenye biblia ipo sehemu imeandikwa hivyo
Sasa wewe unayejua vizuri maandiko unatakiwa unisaidie mie ambae siamini kwa kunipa na mistari iliyopo katika biblia

Ni kama kuchallenge mtu anayejua zaidi ili kusaidia wengine waelewe
 
Okay nimekuelewa. Nilifanya assumption kwamba unajua maandiko yanasema binadamu aliumbwa kutokana na udongo, na bado huamini hilo.
 
Back
Top Bottom