Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

Nani alithubutu kuniuliza hili swali?

haha hiyo story Yake nabaki nacheka Hadi Sasa hivi..

Anasema alisikia Sauti ya Mwanaume lakini ghafla ikawa ya kike Huku kwenye Uume kukiwa na Mpekecho daah
Ni ndefu sanan ila Ina furahisha nimesoma Yote na hapa narudia ili nijue mleta maada alikusudia Nini .

nime pitia thread Zake za Nyuma Ni kuwa Yupo Sawa TU .Naona Kuna ujumbe anaficha au kapenda kutuchekesha.
hahahahahaha
Itakua, wewe rudia rudia.Ukielewa utanisaidia.Kwani huyu ni me au ke bcoz kuna sehemu ameitwa mama 😀😀
 
Pole NN, I hope you are feeling better after kipondo, and you are ready to come back...hao maadui zako wakae chonjo! Lol
 
Daaah...! Huu uzi sio bure,kuna shida kubwa mahala. Mpaka nimeuogopa nikafikiri labda ni mimi nimebug
 
Unaweza kuwa mgonjwa wa ajiri ukajiunga jamii forums uka login na ukapost kabisa ?
 
Ok man, kuna tabia za kawaida, Neurotic behavior na Psychotic behavior. Tabia ya kawaida hutafsiriwa na jamii yako. Najua ukweli wangu, najua ukweli wenu. Nahakikisha kwamba tabia yangu inabadikika kulingana na Mazingira, wakati na Na nina deal na nani. So bye bye Mental wards. Sehemu ambayo ningetakiwa ni kosea vigisufigusi zenu nitanyuti halafu baadae peke yangu nitashangaa dunia hii na hiyo na hapo tabasamu huitawala ofisi yangu.
Sasa hebu tuambie ni nini husababisha hali kama uloyokuwa nayo hapo kabla kutokea?
Hayo mnayokumbana nayo ni halisi au ni hisia tu zisizo za kweli?
Na vipi msaada wako kwa watu wanaopiitia hali kama uliyokuwa nayo hapo kabla?

Funguka ili jamii isiwe inawanyanyapaa vichaa
 
Mkuu mbona kama umekuja na hali ileile ya ukichaa jf?
Pole sana ila nakutia moyo kwa kuwa uu karibu na kupona.
Kupona kutakuwa ni kuishi kama wanadamu wengine wanayoishi hata kama nyuma ya macho yetu ungali ukiyapitia masaibu

Endelea kutiririka ila uwe makini maana sio vyema kufunua siri za vichaa/ulimwengu wa hisia wa vichaa!
Afunue siri ya ulimwengu wa vichaa ili tuweze kusaidiana nao na kuelewana. Wenzetu wanafanya utafiti kwa makusudi, sisi tunaogopa.
 
Back
Top Bottom