Tuweni na huruma jmn sheria ichukue mkondo wake km ni kweli, tusimseme sana inatoshaaaaaa" ukiona kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea" let's focus forward tuangalie pia namna ya kujikomboa na ugumu huu wa maisha, najaribu kuwaza kwa sauti tu!
You are fighting the wrong enemy, kwanini yy atume msg ambazo znamletea matatizo? Pili, hta km ingekua ni mtandao gani wangetoa tu huo ushahidi, nyie wenye uchungu msitumie Voda ushangae ht lema mwenyewe anaendelea kutumia, wabongo bn hahahahahahaaaaaaa harusi si yako unaivalia shela
Halafu kisichoridhiki hakiliki nyie nyie fresh mna watoto tena wakubwa hatuwacemi ila mnajidai eti ctaki aliyezaa mmmmmh jpangeni maana nyie wenyewe ni baba sehemu flani kisa tu hambebi mimba na la sivyo mmeloweka saaaaaana
Ni mtazamo wako tu, Ndo maana tunaamini kuwa kila ki2 kinapangwa na Mungu so kama mtu kazaa kabla ya ndoa na kapata mme mwingine it doesn't matter whether mme ni bikra au la, ujue kuwa aliyepangiwa kumuoa ndo huyo alofunga nae ndpa
Afu wanaume wanajiona watakatiiiifu ila duh acha tu, kwaiyo hao mnaoona kuwa ni wabichi wametupa wangapi? Hiyo haimfanyi mtu kutoitwa mama maana tayar alishatoa ispokuwa anabak kuwa mama wa asiyeonekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.