Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

maswali mengine bana, unadhani mlinzi anaweza kulala katikati ya mto na asizame au kusombwa na maji.kitu hicho hakiwezekani.kama ungesema kuwa amelala juu ya daraja
 
maswali mengine bana, unadhani mlinzi anaweza kulala katikati ya mto na asizame au kusombwa na maji.kitu hicho hakiwezekani.kama ungesema kuwa amelala juu ya daraja
Hahaha mkuu Umechemka
 
Hapana, nimefikiria hilo bando unalotaka kunitumia la ushindi mimi ninalo, bora uwatumie wenzangu ambao hawana[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah hutaki kusogeza siku mbele kwa bando?
 
Si uvuke ndani ya zile dk 5 ambazo anakuwa amelala kabla hajamka.

Haya tuma bando hilo.
 
Lengo langu nivuke mto ila katikati Kuna mlinzi na ua analala kwa dakika 5 nikitaka kuvuka anakua ashaamka. Swali nitafanyaje nipate kuvuka mto ?
Tembea kwa kurudi nyuma ukikaribia atamka jifanye humuoni rudi unapotoka atakuchukua na kukurudisha unapo taka kwenda akizani ndipo ulipo toka
 
Back
Top Bottom