Sakata la Lema na USHAHIDI wa Vodacom (kamaa tadinu tudana)

SAKATA LA LEMA NA USHAHIDI WA VODACOM
-----------------------USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZIO.

Nimeona mitandaoni kampeni inaendelea kutuhamasisha watu tusitumie mtandao wa Vodacom.

Kampeni inasimamiwa na kusambazwa na viongozi na wananchama wa Chama kimoja cha siasa.

Wengine ni wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wanajenga hoja, na kwa kweli hoja wanayo.

Wanasema mtandao huo umeamua kutoa siri za wateja wao ili kusaidia upande wa washitaki wanaomshtaki mbunge na mwanachama wao.

Wanaendelea kusisitiza kwamba tuukatae mtandao huo kwa kuwa Leo wao kesho mimi na wewe.

*WANASAHAU HARAKA SANA.*

Mwaka 2011 mwezi may wakati nashiriki siasa na nikiwa Mwanachama wa Chadema.

Tukiwa katika uchaguzi wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kupitia Vijana (BAVICHA). mimi nilikuwa miongoni mwa wagombea wa uenyekiti wa Taifa wa Vijana.

Pamoja na kwamba nilikuwa na nguvu za ushawishi kiasi cha kushinda. Niliitwa kujieleza katika kikao cha uchujaji wagombea saa saba kasoro dakika 5 usiku.

Nikaenda katika kikao hicho Mbezi Garden hotel Iliyoko Mbezi.

Pamoja na mambo mengine nilikuta nimetuhumiwa kwa makosa zaidi ya saba kwamba siwezi na sistahili kugombea nafasi Ile ya uenyekiti wa Vijana.

Shitaka langu namba Sita lilikuwa ni kutoa tushwa kwa njia ya simu kupitia Mpesa.

Godbless Lema alienda Vodacoma, aka print muamala wangu wa Vodacom wakachukua mawasiliano yangu yote ya kifedha mpaka niliyowarushia ndugu zangu, rafiki zangu na wazee wangu wakasema niliwatumia pesa wajumbe wa Bavicha.

Wakamuandaa na kijana mmoja aliyeniomba nimkopeshe nauli ili ashiriki mkutano na kwamba akirudishiwa na Chama angenilipa kumbe ulikuwa mtego wakanituhumu nimetoa rushwa.

Wakati John Mrema akisoma miamala yangu katika kikao cha kamati kuu. Mbunge Peter Msigwa alikuwa anarekodi kwa kutumia IPad yake. (Siwezi kulisahau hili tukio maisha yangu yote).

God bless Lema akawa shujaa kwenye hili. Kwamba aliweza kuingilia mawasiliano yangu.

Vodacom hawakuwa wabaya hapa. Walisifiwa eti wamefichua njama za rushwa.

Hapa hawakujali kwamba mimi naye ni Binaadam na Nina privacy zangu.

Siku mbili baadae 30.05.2011 Mwandishi Alfred Lucas wa Gazeti pendwa la MWANAHALISI likaandika *MASALIA YA ZITTO YAPUKUTISHWA CHADEMA*
Gazeti la Mwanahalisi likachapisha miamala yangu yote waliyoiibua kwa rafiki yao aliyekuwa kigogo wa Vodacom.

Mtandao wa Jamiiforums nako wiki nzima habari ikawa miamala yangu ya Vodacom.

Bahati mbaya Sana Siku zinakimbia mno.

Leo LEMA aliye print Mawasiliano yangu kunikomesha naye wame print yake na yuko matatani.

Msigwa aliyekuwa anashangilia na kurekodi kwenye IPad yake naye analalamika mawasiliano ya Lema kuingiliwa.

Pamoja na kwamba siungi mkono manyanyaso ya kisheria anauokutana nayo Lema. Lakini ni vyema Vijana kujifunza kuacha kukurupuka na kulalama hovyo bila Kujua msingi wa jambo.

Leo tunajifunza kuwa Kuna vitu vinaumiza vikitokea hasa vikitokea kwa upande wetu.

Maumivu niliyoyapata mimi Mwaka 2011 wanaoweza kusema japo kwa uchache ni Godwin Makomba na Emanuel Kidenya.

Rafiki na Kaka yangu Zitto Kabwe alitumia nguvu kubwa kunitia moyo na kunishawishi nisikishtaki Chama changu na Vodacom. Alinitia moyo kuwa "there is always next battle"

Wakili Peter Kibatala nilimshirikisha Sana tuwashtaki Vodacom lakini alikuwa ananipiga chenga, kumbe alikuwa anajiandaa kuwa mwanachama hai.

Leo miaka 6 baadae nikiwa si mwanachama wa chama chochote cha siasa yamewatokea yaliyonitolea.

nawakumbusha Lema na Msigwa kuwa USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZAKO.

Mwandishi wa Makala hii ni Ndg Habib MCHANGE (mwananchi wa kawaida)
Kumbe Vodacom hawajaanza leo kutoa siri za watu. Na kwa jinsi ulivyoeleza basi unatupa nafasi na uelewa kwamba hawafai kuaminiwa. Kwa hata ukingomana na mke wako kuhusu siri za mawasiliano unakwenda Vodacom wanakupa siri zote.
Watu ndiyo maana hawaiamini tena na asante Machange kwa kutupa habari zaidi
 
Kesi ya lema hata kam alimuita mtu shoga anatakiwa kukupigwa faini lakini si huu ujinga wanaotaka kuufanya kumfunga kifungo cha mwaka mmoja akose sifa ya kuwa mbunge...

Huu ni upumbavu mahakama kutumiwa na serikali.......

serikali inaingiaje hapo
 
baada ya kusoma hii habari kesho natafuta laini nyingine Vodacom basi,na ile simu yangu inayotumia line ya vodacom tu,naachana nayo
 
You are fighting the wrong enemy, kwanini yy atume msg ambazo znamletea matatizo? Pili, hta km ingekua ni mtandao gani wangetoa tu huo ushahidi, nyie wenye uchungu msitumie Voda ushangae ht lema mwenyewe anaendelea kutumia, wabongo bn hahahahahahaaaaaaa harusi si yako unaivalia shela
 
Ingekuwa vizuri sana kama tukipewa muongozo tuzipele kwenye ofisi ya chama hizi line zetu zikusanywe na kuchomwa moto kitaifa ili wajuwe kuwa na wao ni tawi la ccm au chama cha siasa!
 
Halazimishwi MTU kutumia line ya Vodacom,mfanye uhalifu kisha Vodacom wafiche maovu yenu

Kunamiamala ya zito na wenzake cdm waliiwekaga hapa mtandaoni mbona hamkusema Vodacom hawafai?

Acheni kuitumia voda wala hamjalazimishwa.Vodacom hawapaswi kukumbatia wahuni wanamna yoyote ile
 
SAKATA LA LEMA NA USHAHIDI WA VODACOM
-----------------------USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZIO.

Nimeona mitandaoni kampeni inaendelea kutuhamasisha watu tusitumie mtandao wa Vodacom.

Kampeni inasimamiwa na kusambazwa na viongozi na wananchama wa Chama kimoja cha siasa.

Wengine ni wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wanajenga hoja, na kwa kweli hoja wanayo.

Wanasema mtandao huo umeamua kutoa siri za wateja wao ili kusaidia upande wa washitaki wanaomshtaki mbunge na mwanachama wao.

Wanaendelea kusisitiza kwamba tuukatae mtandao huo kwa kuwa Leo wao kesho mimi na wewe.

*WANASAHAU HARAKA SANA.*

Mwaka 2011 mwezi may wakati nashiriki siasa na nikiwa Mwanachama wa Chadema.

Tukiwa katika uchaguzi wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kupitia Vijana (BAVICHA). mimi nilikuwa miongoni mwa wagombea wa uenyekiti wa Taifa wa Vijana.

Pamoja na kwamba nilikuwa na nguvu za ushawishi kiasi cha kushinda. Niliitwa kujieleza katika kikao cha uchujaji wagombea saa saba kasoro dakika 5 usiku.

Nikaenda katika kikao hicho Mbezi Garden hotel Iliyoko Mbezi.

Pamoja na mambo mengine nilikuta nimetuhumiwa kwa makosa zaidi ya saba kwamba siwezi na sistahili kugombea nafasi Ile ya uenyekiti wa Vijana.

Shitaka langu namba Sita lilikuwa ni kutoa tushwa kwa njia ya simu kupitia Mpesa.

Godbless Lema alienda Vodacoma, aka print muamala wangu wa Vodacom wakachukua mawasiliano yangu yote ya kifedha mpaka niliyowarushia ndugu zangu, rafiki zangu na wazee wangu wakasema niliwatumia pesa wajumbe wa Bavicha.

Wakamuandaa na kijana mmoja aliyeniomba nimkopeshe nauli ili ashiriki mkutano na kwamba akirudishiwa na Chama angenilipa kumbe ulikuwa mtego wakanituhumu nimetoa rushwa.

Wakati John Mrema akisoma miamala yangu katika kikao cha kamati kuu. Mbunge Peter Msigwa alikuwa anarekodi kwa kutumia IPad yake. (Siwezi kulisahau hili tukio maisha yangu yote).

God bless Lema akawa shujaa kwenye hili. Kwamba aliweza kuingilia mawasiliano yangu.

Vodacom hawakuwa wabaya hapa. Walisifiwa eti wamefichua njama za rushwa.

Hapa hawakujali kwamba mimi naye ni Binaadam na Nina privacy zangu.

Siku mbili baadae 30.05.2011 Mwandishi Alfred Lucas wa Gazeti pendwa la MWANAHALISI likaandika *MASALIA YA ZITTO YAPUKUTISHWA CHADEMA*
Gazeti la Mwanahalisi likachapisha miamala yangu yote waliyoiibua kwa rafiki yao aliyekuwa kigogo wa Vodacom.

Mtandao wa Jamiiforums nako wiki nzima habari ikawa miamala yangu ya Vodacom.

Bahati mbaya Sana Siku zinakimbia mno.

Leo LEMA aliye print Mawasiliano yangu kunikomesha naye wame print yake na yuko matatani.

Msigwa aliyekuwa anashangilia na kurekodi kwenye IPad yake naye analalamika mawasiliano ya Lema kuingiliwa.

Pamoja na kwamba siungi mkono manyanyaso ya kisheria anauokutana nayo Lema. Lakini ni vyema Vijana kujifunza kuacha kukurupuka na kulalama hovyo bila Kujua msingi wa jambo.

Leo tunajifunza kuwa Kuna vitu vinaumiza vikitokea hasa vikitokea kwa upande wetu.

Maumivu niliyoyapata mimi Mwaka 2011 wanaoweza kusema japo kwa uchache ni Godwin Makomba na Emanuel Kidenya.

Rafiki na Kaka yangu Zitto Kabwe alitumia nguvu kubwa kunitia moyo na kunishawishi nisikishtaki Chama changu na Vodacom. Alinitia moyo kuwa "there is always next battle"

Wakili Peter Kibatala nilimshirikisha Sana tuwashtaki Vodacom lakini alikuwa ananipiga chenga, kumbe alikuwa anajiandaa kuwa mwanachama hai.

Leo miaka 6 baadae nikiwa si mwanachama wa chama chochote cha siasa yamewatokea yaliyonitolea.

nawakumbusha Lema na Msigwa kuwa USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZAKO.

Mwandishi wa Makala hii ni Ndg Habib MCHANGE (mwananchi wa kawaida)
Kumbe Mwanachama wa act. ilikuwa wapi kusema wakati ule.Kama pembeni Tuache Mbunge wetu hata ubunge ulikosa.Na kama unataka kugombea waambie CCM wakupangie Jimbo basi.
 
Sheria inailazimu mitandao kutoa mawasiliano ya mtu pale Polisi wanapohitaji mawasiliano yake
Hivi ndiyo sheria kandamizi zinazopigwa vita. Nitaelewa kama hizo information zinahatarisha usalama wa taifa.

Kama wanafanya hivi kwa individuals basi kesho mtu yeyote kesho akija na kesi kuwa katukanwa basi police inabidi watoe ushirikiano kama walivyofanya kwenye hii kesi. Otherwise, wanajenga matabaka. Mimi nikitukanwa kwenye sms ni Sawa lakini since Sawa kwa fulani na fulani.
 
SAKATA LA LEMA NA USHAHIDI WA VODACOM
-----------------------USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZIO.

Nimeona mitandaoni kampeni inaendelea kutuhamasisha watu tusitumie mtandao wa Vodacom.

Kampeni inasimamiwa na kusambazwa na viongozi na wananchama wa Chama kimoja cha siasa.

Wengine ni wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wanajenga hoja, na kwa kweli hoja wanayo.

Wanasema mtandao huo umeamua kutoa siri za wateja wao ili kusaidia upande wa washitaki wanaomshtaki mbunge na mwanachama wao.

Wanaendelea kusisitiza kwamba tuukatae mtandao huo kwa kuwa Leo wao kesho mimi na wewe.

*WANASAHAU HARAKA SANA.*

Mwaka 2011 mwezi may wakati nashiriki siasa na nikiwa Mwanachama wa Chadema.

Tukiwa katika uchaguzi wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kupitia Vijana (BAVICHA). mimi nilikuwa miongoni mwa wagombea wa uenyekiti wa Taifa wa Vijana.

Pamoja na kwamba nilikuwa na nguvu za ushawishi kiasi cha kushinda. Niliitwa kujieleza katika kikao cha uchujaji wagombea saa saba kasoro dakika 5 usiku.

Nikaenda katika kikao hicho Mbezi Garden hotel Iliyoko Mbezi.

Pamoja na mambo mengine nilikuta nimetuhumiwa kwa makosa zaidi ya saba kwamba siwezi na sistahili kugombea nafasi Ile ya uenyekiti wa Vijana.

Shitaka langu namba Sita lilikuwa ni kutoa tushwa kwa njia ya simu kupitia Mpesa.

Godbless Lema alienda Vodacoma, aka print muamala wangu wa Vodacom wakachukua mawasiliano yangu yote ya kifedha mpaka niliyowarushia ndugu zangu, rafiki zangu na wazee wangu wakasema niliwatumia pesa wajumbe wa Bavicha.

Wakamuandaa na kijana mmoja aliyeniomba nimkopeshe nauli ili ashiriki mkutano na kwamba akirudishiwa na Chama angenilipa kumbe ulikuwa mtego wakanituhumu nimetoa rushwa.

Wakati John Mrema akisoma miamala yangu katika kikao cha kamati kuu. Mbunge Peter Msigwa alikuwa anarekodi kwa kutumia IPad yake. (Siwezi kulisahau hili tukio maisha yangu yote).

God bless Lema akawa shujaa kwenye hili. Kwamba aliweza kuingilia mawasiliano yangu.

Vodacom hawakuwa wabaya hapa. Walisifiwa eti wamefichua njama za rushwa.

Hapa hawakujali kwamba mimi naye ni Binaadam na Nina privacy zangu.

Siku mbili baadae 30.05.2011 Mwandishi Alfred Lucas wa Gazeti pendwa la MWANAHALISI likaandika *MASALIA YA ZITTO YAPUKUTISHWA CHADEMA*
Gazeti la Mwanahalisi likachapisha miamala yangu yote waliyoiibua kwa rafiki yao aliyekuwa kigogo wa Vodacom.

Mtandao wa Jamiiforums nako wiki nzima habari ikawa miamala yangu ya Vodacom.

Bahati mbaya Sana Siku zinakimbia mno.

Leo LEMA aliye print Mawasiliano yangu kunikomesha naye wame print yake na yuko matatani.

Msigwa aliyekuwa anashangilia na kurekodi kwenye IPad yake naye analalamika mawasiliano ya Lema kuingiliwa.

Pamoja na kwamba siungi mkono manyanyaso ya kisheria anauokutana nayo Lema. Lakini ni vyema Vijana kujifunza kuacha kukurupuka na kulalama hovyo bila Kujua msingi wa jambo.

Leo tunajifunza kuwa Kuna vitu vinaumiza vikitokea hasa vikitokea kwa upande wetu.

Maumivu niliyoyapata mimi Mwaka 2011 wanaoweza kusema japo kwa uchache ni Godwin Makomba na Emanuel Kidenya.

Rafiki na Kaka yangu Zitto Kabwe alitumia nguvu kubwa kunitia moyo na kunishawishi nisikishtaki Chama changu na Vodacom. Alinitia moyo kuwa "there is always next battle"

Wakili Peter Kibatala nilimshirikisha Sana tuwashtaki Vodacom lakini alikuwa ananipiga chenga, kumbe alikuwa anajiandaa kuwa mwanachama hai.

Leo miaka 6 baadae nikiwa si mwanachama wa chama chochote cha siasa yamewatokea yaliyonitolea.

nawakumbusha Lema na Msigwa kuwa USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZAKO.

Mwandishi wa Makala hii ni Ndg Habib MCHANGE (mwananchi wa kawaida)
umeongea saaaana ila two wrongs never make a right
 
Uko sawa, uko sahihi kabisa! Mimi nasema kampeni ya Kata vodacom ni sawa na MTU kubanwa mkojo halafu auzuie mkojo hadi kesho.
Vodacom inawateja wengi huenda zaidi ya mara 3 ya wateja walioko kwny mitandao mingine. Kwa hiyo kampeni hiyo ni butu Kabisa sawa na bosi Mbowe kuwaamuru watumishi wa serikali wasiende kazini.
NAWASILISHA TU
 
Lakini watu muache unafki wakati watch 8 amepotea Lissu na.genge lake.walikuja na namba 07.......ambayo ni namba ya voda na mkasema mnaomba voda wawape ushirikiano kuonyesha kuwa ni ya nani na ndio ilomtisha Watch 8 last tym na hata GJ Malisa alivyokuja na genge lake la wahuni nae alisema wameomba taarifa za simu ya Watch 8 kwenye mitandao ukiwemo voda sasa tuwe patient hata mahakama imeomba taarifa kama CHADEMA walivyoomba taarifa so conclusion *Kunyweni maji wanangu*
Nimeipenda hyo watch 8 ha habhaba
 
Daa kwa kweli brother umenigusa. Lakini tumekuwa tukisema sana sisi tuliokuwaga huku kwamba hiki ni chama cha mazingaombwe lakini watu hawaelewi. Ulilolisema labda ni theluthi tu ya madudu ambayo yamo mule ndani sema ndio hivyo unajifanya mzalendo unamezea. Ili usije wafanya wanachama wengine wakapotea. Chama hiki kwa matendo haya na mengine mengi kwa sasa hakifai tena hakifai kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii.n hatari mnooo. Yapi mengi lakini mengi zaidi wanayo mioyoni wale wote waliokwisha ondoka. Eti leo Kafulila anajifaya amerudi chadema, sijajua kufanya nini. Kwani alipokuwepo nccr kuna tatizo gani. Biashara ya kufanya siasa kama mtaji wa kupata ugali wa watoto ndio umetufikisha hapa. Na hatuutaki. Ni unafiki mkubwa. Angalia juzi mlikua mnawaita watu watuhumiwa wa ufisadi. Leo watu wale ni wasafiiiii. Hata doa hawana. Wakati ulikuwa unasema ulikua na ushahidi usio na shaka. Ukiuliza sababu eti unageuzia upande wa pili tatizo, unajiuliza mwenyewe kama wangekuwa mafisadi si wangeshapelekwa mahakamani? ?. Ni sheeda sana mavyama haya. Eti yanataka madaraka ya nchi. Haohao waliokuwa wanawaita mafisadi na hawawezi kusafishika leo hii wanawapigia kampeni waende kulekule ikulu. Hahahahahah kweli wajinga ndio waliwao wajameni
Wewe unadhani kua mwanachama au kiongoz wakisiasa wa chama cha siasa ni sawa na kua marehem.Nyie ambao hamjui siasa ni kazi kama kazi nyingine ndo mnao teseka na kauli na matendo ya wanasiasa.Ata vyama tawala ziko kàuli nyingi tu wanasema na zote ni usanii mtupu kwaiyo kauli zao its not an issue.Mfano wa kaulimbiu ni ile ya "Maisha bora kwa kila mtanzania".
 
Huyu mchange hajajua watu wanalalamikia nini!! Kuomba miamala au mawasiliano ya mtu anayetuhumia kwa kosa kubwa Ni suala la kiisheria,mahakama inaweza kuamuru hivyo bila tatizo! ila kampuni kumtuma mfanyakazi wake kwenda kusimama mahakamani kwa niaba ya kampuni na mlalamikaji ndiyo tatizo!! Inatoa taswira kama vile kampuni ina maslahi kwenye kesi hiyo!! Kwani kwenye hicho kikao chenu kulikuwa na mfanyakazi yeyote wa vodacom aliyetumwa na kampuni yake kuja kukukandamizia tuhuma hizo?
 
Back
Top Bottom