TANZIA: Waziri Mkuu mstaafu awamu ya nne mh. Mizengo Pinda afiwa na baba mzazi

Wewe hakuna binadamu asiye na stress kwenye dunia hii hata kama anakula mana na asali ,usitake kujifanya msemaji wa Jumaa

Halafu ulichokiona hapo ni hilo la Mwanae ku disco ? Vipi maono ya Lema hayampi Stress ?
Mwanaume unafatilia maisha ya mtu asiyekuhusu unatatizo wewe unaacha kuangalia wadogo zako
Huyo unay3 angaika nae sio hata diwan wa kara manake hana impact
 
Rip mzee Pinda, na mungu awafariji wafiwa wote.

Ila kwenye majina official ya waziri mkuu mstaafu sijawahi sikia jina Xavery Mizengo Pinda
 
Apumzike kwa amani babu yetu. Ila kasura kake kana differ kweli na mheshimiwa Pinda. miaka 90 lakini bado anang'aa
 
Back
Top Bottom