Recent content by AshaFaraji

  1. A

    Ujumbe kwa Chadema

    CHADEMA - Wawachague wasomi wenye sifa sahihi kugombea ubunge.
  2. A

    Mdoli wa NGONO!!

    Ushetani huu, Nafasi ya mwanamke hiwezi kuchukuliwa na mdoli.
  3. A

    Passenger tried to blow up airliner-in Detroit

    God is powerful. ALQAEDA is powerless
  4. A

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    Asante exaud kwa ushauri japo mimi si mgeni sana.Nilijiunga hapa mwanzoni mwa mwaka huu lakini nikajikuta nabanwa sana na masomo mahali fulani.nikashindwa kuendelea hapa.Pia nikapoteza password mara kwa mara. Sasa Mungu amenisaidia nimeshavaa JOHO la taaluma, kwa hiyo nitakuwa hapa jamii mara...
  5. A

    Huzuni: ameolewa, ni miaka 10 sasa lakini hajawahi kufika kileleni

    Kama huyo mama hajawahi kufika, amejuaje kuna kufika? Au ni mzoefu wa kwenda nje ya ndoa? Huyu anababaisha tu.
  6. A

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    Wapenzi wana jamii, Mimi binafsi sielewi kabisa dhana hii ya amani. watu huzungumzia amani lakini sijui uwepo wa amani unapimwaje. Kwa mfano kisiasa mataifa mengi husema Nchi ya Tanzania ni nchi ya amani. Hivi kipimo cha amani ni kipi? Je amani sii kitu ambacho kiko ndani ya moyo wa mtu?Amani...
Back
Top Bottom