Recent content by Asha Abdallah

  1. A

    YUKO wapi Dr Ulimboka Na mgomo wake...KAPOTEZA AJIRA?

    tatizo mnapenda kutukana matusi yasiyokuwa na kichwa wala miguu ndo usomi au hasira zisizokuwa na maana tunauliza kujua kwa sababu pinda kasema lake kama mtu unadata zaidi ya pinda ili wananchi waelewe si unatoa kuliko mtu mzima kutoa maneno machafu.dah! Kazi ipo ok endeleeni kutukana wenye...
  2. A

    Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

    bora useme maana na mimi imenichanganya kidogo ina maana hapa bongo hakuna uhuru wa kujieza kwa jinsi wewe unavyoona kwanini mtu aseme aonavyo yeyeawe mbaya
  3. A

    Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

    duh! Hapo ulipofika pabaya kama rais nae punguani nani atasikiliza matatizo ya madaktari.??
  4. A

    Vazi hili mie kichwa zunguka

    kama wajinga tu kuna mambo ya maana ya kufanya mnayaacha mnakalia kupoteza pesa kwa kuzunguka na kutafuta maoni ya vazi ambalo halitavalika kwanini hizo pesa msiwape madktari wakarudi kazini.
  5. A

    Madaktari 38 waondoka nchini

    hili jambo la mgomo limekuwa la muda mrefu sasa limeshatuchosha ondokeni ili tujue tunajipangaje maana halipati ufumbuzi acha tufe
  6. A

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    sawa mtawachanganyia madesa ndugu Zetu watakufa na wewe ndugu yako atafanyiwa hivyo hivyo na daktari mwingine ubabe hausaidii kawaita mmegoma kaeni myazungumze
  7. A

    Madaktari wastaafu kutumika Muhimbili ni usaliti au uzalendo?

    acha watibu jamani watu wachini sisi tusiokuwa na uwezo tutakwisha wabaki matajiri tena wawaongeze kabisa na wanajeshi na hata polisi kama wapo
  8. A

    Madaktari Waamua Kutangaza Mgomo Rasmi Kuanzia Kesho tarehe 24/01/2012

    mh! Ngoja tuone kama hamtagawanyika wa tanzania no msimamo
  9. A

    Mbinu mpya wa wezi

    duh! Tunashukuru sa mkeo walimwachaje hakupata kipondo
  10. A

    utambulisho

    mgeni jamani naombeni ushirikiano wenu
Back
Top Bottom