Recent content by Asgar

  1. A

    JamiiForums Tanzania BUNGENI DODOMA: Majibu ya Jaffo kwa walimu wa Arts na Sayansi

    Swali, inamaana kwa sekondari hakuna upungufu wall walimu wa arts??? Na je kinamna hiyo hizo ajira zitakuwepo kwa idadi ileile aliyoitaja kairuki au itapungua kulingana na hao wa kozi nyingine za sayansi watakaoajiriwa kufundisha ??
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajira za walimu 2016

    Hawa majamaa mi hata siwaelewi. Watu wameshindwa kufanya shughuli zao binafsi wakiamin kesho zitatoka. Dah yani toka mwezi januari hadi leo tunanusa wa sita. Ngoja tuone mwisho wake utakuaje
  3. A

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela ukuu wa mkoa basi

    Hahahahaha kitaeleweka tu mwaka huu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mwongozo wa kozi zozote
  5. A

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ni second choice km chuo hakitaeleweka. Ni machaguo yake binafsi 1 ni chuo na 2 ni polisi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Nina mdogo wangu wa kike ame-reseat mwaka jana na amepata division four ya 31 km ifuatavyo: HIST-D, KISW-D, ENG-D, LIT IN ENG-D, GEO-F, CIV-F NA MATH-F. Mwaka jana alipokuwa mtahiniwa wa shule alizungusha yaani alipata division zero. Naomba mnisaidie ni koz gan nzuri ya kusoma kwa ngazi ya cheti...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uandishi sahihi wa Scheme of work (azimio la kazi)

    hahahaha ngoja msukuma akusikie
  8. A

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya result slips ya O/A level

    Hazina kazi tena na ndo maana zina kikomo cha muda wa kutumika. Havitolewi vyeti moja kwa moja ili kwa wale watakao-appeal matokeo yao na matokeo yakabadilika bas cheti kikitengenezwa kiwe na matokeo yanayomridhisha mtahiniwa bila kuwa na malalamiko
  9. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu DUCE

    nimepata mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Liberia na Ethiopia

    kafungue tena vitabu, ndo maana ukajiita #tang'ana. Jina na akili yako vinasadifiana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Liberia na Ethiopia

    mmbea ni wewe uliye-reply kitu ambacho hujaambiwa wewe. Mpaka usome vitabu ndo utafute cha kusema
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    The atmosphere has four layers (troposphere, stratosphere, mesosphere and thermosphere). Why at the troposphere there is environmental lapse rate while at stratosphere there is temperature inversion??
  13. A

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu DUCE

    Hapo duce kuna diploma in education? Na km ipo application yako ikoje?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Liberia na Ethiopia

    Ethiopia walikuwa na nguvu ya kijeshi. Kuna bepari m1 km sikosei ni USA au Germany alijaribu kufanya attack akachakazwa vibaya
  15. A

    JamiiForums Tanzania Utoshelezaji wa walimu wa masomo ya sanaa

    Embu wana-jf naomba tujenge hoja,hivi ni kweli walimu wa masomo ya sanaa wanatosheleza kwa sasa kiasi cha kutoajiri walimu hao?? Mashaka yanakuja uko maeneo ya vijijini ambapo tunaambiwa unaweza kukuta shule ina walimu wa5, je hao wote ndo huwa wa sanaa au vp?? Embu tujuzane ukweli ni upi...
Back
Top Bottom