Kuwa mchunguzi kijana...rwanda ni sawa na mkoa mmoja au miwili ya tanzania. Bravo kwa jakaya angekuwa na nchi ndogo kama rwanda basi angekuwa kwenye top three africa...
From what i know mto nile unamwaga maji yake ziwa victoria, whatever unavoitwa white, blue or red what matter is Nile... So nadhani Rais wa Tanzania ana mamlaka ya kujihusisa nao as long as states have mandate to ensure another states peace in İnternational system.
Maskin mpaka nawaonea huruma....hzo njama zitapangwa nyingi strategy zitaongezwa kibao ila kwa fujo zenu wapinzan hatuwap kula......mtaishia kunawa mikono.
Cdhani kama ni maslahi ya taifa ndugu yangu...watu binafsi hawana matatizo matatizo yapo kwenye mfumo wa sekta yenyewe...nawaambien tena hakuna mtu ataweza kuimudu wizara ya mali asili na utalii kama alivofanya kagasheki...tutamkumbuka daima.
Shida siyo hadhi mkuu, shida ni afya..je hzo chemical zna faida mwilini mwetu? Wote tunajua kabisa maji ni H2O ambayo ni hydrojen na oxygen sasa hzo sodium na madudu mengine ya nini....asante kwa mwanzisha mada
Hapo ndo tunashindwa kujua kina nan ni wawajibikaji na kina nan siyo...unajua inatia hasira kweli pale unapowajibika hafu wakatokea huko watu ambao ukiwaangalia kabisa unaamini wakipewa nafasi yako hata robo hawawezi kufikisha badala wakuappreciate kwa kaz ulofanya na kukushauri ulipokosea na...
Jamani watanzania mi sielewi kabisa wasomi tunashindwa kutambua tatizo na kutafta mbinu za kutusaidia wenyewe tunakalia kuwalalamikia watu..wale sio malaika ni watu tu kama cc.. Hvo yatubidi badala ya kuwaponda tunawapa njia mbadala ya kufanya... Tuwe mature basi ebo!
watanzania fumbukeni.. vyama havitotupeleka kokote cha maana tuangalie mtu mwenye msimamo anayeweza kuilinda Tanzania yetu bila kuiuza... hivi vyama vya siku hizi ni mbwembwe tu. na tusipokuwa makini vitatugawen makundi tuwindane kama wanyama tuisahau amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.