Maji ya Chupa-Uhai, Kilimanjaro etc

994593_231609370338541_113764721_n.jpg


Do Not Re-Use Minerals Water Bottles...

How to avoid:

Check on the bottom of the bottle there is a triangle sign and
there will be a number on it.

If the number is higher than or equal to 5; then this bottle is safe
to use. Whatever number under 5, will release the chemical.
For most bottle water, the number is 1. Did you know chemical released
by plastic water bottles can cause cancer

(It is not the water that affecting you but the chemical releasing from
the bottle)Pass this to all your friends and also make them aware of it


mhhhhhhhhhh, chupa zetu zina haya kweli?
 
Shida siyo hadhi mkuu, shida ni afya..je hzo chemical zna faida mwilini mwetu? Wote tunajua kabisa maji ni H2O ambayo ni hydrojen na oxygen sasa hzo sodium na madudu mengine ya nini....asante kwa mwanzisha mada
 
Kilimanjaro ndio mpango mzima. Mengine nakunywa nikiwa nimefulia au nikiyakosa Kilimanjaro Pure Drinking Water.
Mkuu unao ushahidi kuwa hayo maji ya ( Kilimanjaro Pure Drinking Water) ni Maji mazuri Kwa Binadamu? Au kwa

mawazo yako? Kila kitu kinachotengenezwa Viwandani kilicho andikwa ''EXpire date'' au chenye ingredients kinakuwa sio Safe ni Fake

ukae ukijuwa Mkuu.@ray05 Maji hayana madhara kwa binadamu ni maji yanayo toka Ardhini moja kwa moja kwenda kwa mtumiaji. Nayo ni maji ya

kisima. Maji ya Viwandani yote ni maji Fake hayapo safe yana madawa yamechanganywa kazi kwako.

 
Mkuu unao ushahidi kuwa hayo maji ya ( Kilimanjaro Pure Drinking Water) ni Maji mazuri Kwa Binadamu? Au kwa

mawazo yako? Kila kitu kinachotengenezwa Viwandani kilicho andikwa ''EXpire date'' au chenye ingredients kinakuwa sio Safe ni Fake

ukae ukijuwa Mkuu.@ray05 Maji hayana madhara kwa binadamu ni maji yanayo toka Ardhini moja kwa moja kwenda kwa mtumiaji. Nayo ni maji ya

kisima. Maji ya Viwandani yote ni maji Fake hayapo safe yana madawa yamechanganywa kazi kwako.


Ni bora Kilimanjaro compare na maji ya uhai au masafi au maisha au sijui nini. Naunga mkono kuwa maji yote ya kwenye chupa sio salama but tukimbilie wapi coz hatuna option. Maji ya chemchem utapata wapi dar hii?
 
994593_231609370338541_113764721_n.jpg


Do Not Re-Use Minerals Water Bottles...

How to avoid:

Check on the bottom of the bottle there is a triangle sign and
there will be a number on it.

If the number is higher than or equal to 5; then this bottle is safe
to use. Whatever number under 5, will release the chemical.
For most bottle water, the number is 1.
Did you know chemical released
by plastic water bottles can cause cancer

(It is not the water that affecting you but the chemical releasing from
the bottle)Pass this to all your friends and also make them aware of it



Mmmmh.... Hapa nimeiona hiyo triangel ina namba 1. Niliposoma hapa ikabidi niangalie chupa yangu ya maji ambayo nimeiwekea maji ya kuchemsha toka nyumbani. Ina maana ku-reuse ni makosa???
 
Je, maji yapi ni salama kunywa? Watu wengine wanahisi maji ya bomba ni sawa na hawawezi kufikiria kutumia pesa za ziada kwenye maji ya chupa. Kinyume chake, wengine wanafikiri maji ya chupa ni mbadala salama, safi zaidi ya maji ya bomba au maji ya kisima, kwa hivyo wako tayari kulipa.

Maji ya chupa ndio chaguo bora licha ya gharama iliyoongezwa? Au ni uuzaji wa ujanja tu kwa upande wa kampuni za maji ya chupa?

Je, Maji ya Bomba ni Salama Kunywa?
Hapana, kwa sababu zifuatazo:-

1. “uchafuzi” uchafu ni “kitu chochote cha kimwili, kemikali, kibayolojia, au radiolojia au jambo” linalopatikana katika maji ya kunywa. Kwa maneno mengine, “chochote isipokuwa molekuli za maji” ni uchafuzi wa maji ya bomba. baadhi ya vichafuzi ni salama katika viwango fulani. Vichafuzi vya kawaida vya kemikali ambavyo vinaweza kuingia kwenye maji ya bomba ni pamoja na dawa za kuulia wadudu, maji ya viwandani, na metali zenye sumu kama vile risasi, zebaki na arseniki . Vichafuzi vya kibiolojia ni vitu kama bakteria, virusi, na vimelea. Vichafuzi vya radiolojia vinaweza kutoka kwa amana za asili za urani au radiamu ardhini na taka za nyuklia zinazotengenezwa na binadamu. Vichafuzi hivi vyote vinaweza kuingia katika maji yetu ya kunywa kutoka vyanzo mbalimbali. Kwa mfano, baadhi ya kemikali na metali nzito (heavy metal) hutokea kwa kawaida ardhini na mvua inaweza kufagia bakteria na dawa za kuulia wadudu kutoka kwa maeneo ya kilimo hadi kwenye usambazaji wetu wa maji.

2. Chemical zinazotumika katika matibabu ya maji chlorine na fluoride si salama sana kiafya kupelekea maji kuwa na radha na harufu inayochukiza lakini hiz zikizidi zinaweza kusababisha madhara yafuatayo:-

Ø Cancer za aina tofauti kama koo,kibofu, matiti.

Ø Madhara katika moyo na ubongo kwa watoto ambao hawajazaliwa.

Ø Kupunguza Kiwango cha uzalishaji kwa wanaume

Ø Matatizo ya akili na ubongo.

Ø Alzheimer na dementia(matatizo ya kusahau) wakati wa uzeeni.

Je, Maji ya Chupa Ndio Jibu?

Kwa kuzingatia hatari zinazoweza kutokea za maji ya bomba, watu wengine wamegeukia maji ya chupa. Lakini hii ni kweli chaguo bora kwa maji ya kunywa?

Jibu ni hapana. Kulingana na Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC), hakuna ushahidi mgumu kwamba maji ya chupa ni salama kuliko maji ya bomba. Maji ya chupa za kibiashara bado yana uwezo wa kuchafuliwa wakati wa kutafuta na katika mchakato wa uwekaji chupa.

Unaweza kushangaa kujua maji ya chupa yanatoka wapi. Lebo inaweza kuwa na picha ya mandhari tulivu ya mlima, lakini maji ndani yanaweza kutoka kwa “ usambazaji wa maji wa ndani “ unaojaribu kuepuka. Kwa maneno mengine, maji yamepitia kituo sawa cha kutibu maji kama maji yako ya bomba. Tofauti pekee ni kwamba toleo la chupa wakati mwingine huja kwa gharama kubwa zaidi.

Je lipi ni suluhisho sahihi ?

Kwa Maji ya Nyumbani, kuna suluhisho la (water purifier) chujio la maji kwa kila bajeti na mtindo wa maisha. Kwa kuchuja maji, unaweza kuwa na manufaa yote ya kiafya ya utumiaji maji bila wasiwasi wa uchafuzi kwa njia ya gharama nafuu na rafiki wa mazingira. Aina hii ya matibabu ya maji inaweza kutumika kama kizuizi kati yako na vitu vyenye madhara ambavyo vinaweza kupatikana kwenye usambazaji wa maji.

Wasiliana wataalamu wa kufunga na kurekebisha chujio la maji majumbani kwa gharama nafuu.

Whatsapp number:+255758404554

E-mail:Jacobmj33@outlook.com

Au Dm.
 
Back
Top Bottom