Recent content by Asangasa Mugadi

  1. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Inferiority complex kwa ujumla si hali ya woga kama ambavyo umetafsiri, kwa hapa imetumika kama ni hali ya kutojiamini kutokana na jambo lililokutokea awali hivyo kuhisi litaendelea kutokea, kwahiyo kuhusiana pombe kwahuyo wa mnyira ilikuwa inamfaa lkn kwako sijui wewe unatatizo gani kuwa wazi!
  2. Asangasa Mugadi

    Burundi yashutumu Rwanda kwa kuunga mkono waasi

    Lakini kinacho wapashida ni ubaguzi tu!
  3. Asangasa Mugadi

    Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

    Unajua kunaujuaji mwingine hauna maana kwani were unajua maana EA
  4. Asangasa Mugadi

    Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Kwa hali ya kawaida ya kihistoria kwa Lowasa kununua nunua watu wa kawaida, viongozi wa kisiasa na wakiroho si ajabu kabisa kutoa posa na baadae kulipa mahari kwako viongozi wa taasisi hizo. Lowasa tunamjua hanauwezo wa kujinadi kwa kutumia Sera tangu mwanzo yeye alianza miaka mingi akijidai...
  5. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Hakuna mahusiano ya kishirikina na hilo jambo kwa mjibu wa maelezo yako ya kwanza labda kama ulidanganya! Kufurahisha watu
  6. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Maduka ya vileo
  7. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Yah mimi nimwanasaikolojia ya ndoa na mahusiano ya mapenzi! Chakufanya nunua packet mbili za zanzi changanya na coca utanipa jibu next week
  8. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Ungejibu la pombe
  9. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Tatizo lako ni kwamba unampenda kupita kiasi na yeye anakuridhisha sana! Kilicho haribu ni huo mchepuko wa kwanza joogoo liliposhindwa kuwika tu ubongo ukajenga hali ya uoga( inferiority complex) pole sana sijui kama huwa unakunywa Pombe? Ningejua hilo ningalishauri tofauti! Don't give up Ila...
  10. Asangasa Mugadi

    Je, huyu mwanamke ameniroga?

    Bwana mdogo hilo ni swala la kisaikolojia tu vumilia mambo yatajipa
  11. Asangasa Mugadi

    Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Kwani wewe in wa kwanza wapo walio fanya zaidi yako poleeeee
  12. Asangasa Mugadi

    Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Hata kama wewe hujakamilika ndugu, kwanza unasura mbayaaa
Back
Top Bottom