Recent content by asajizzle

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nilianzisha na kukuza biashara from zero ila kwa hapa nilipofika naona kabisa nahitaji msaada

    Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu. Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio tangazo la nafasi za/ya kazi. Nitajitahidi kuweka maelezo sawa ili ujumbe wangu uliokusudiwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Mtu chake wenyewe wanasema
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimfumania mpenzi wangu wa zamani Live na Mwanaume mwengine nikashindwa Kumuacha na Kumsamehe

    Maisha ni uchaguzi wa mtu binafsi. Watu watashauriiiiii ila mwisho wa siku uamuz unao wewe
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Ufugaji wa kuku wa kienyejibuna changamoto sana sana sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Si umeona gharama yake sasa jamaa anavyotaabika?.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nimepata gonjwa la zinaa ila dawa zote zimedunda

    Zinaa ni uchafu. Basi tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Kama ni kwel, hii sio sifa nzuri japo kuna muda ina faida zake..ila tatizo ni kwamba unaongiza watu wazima wenye akil hivyo utajikuta kama wanakupinga muda wote kumbe tu ni wewe usiyetaka kusukiliza mawazo yao
  8. A

    JamiiForums Tanzania China ataiua US kwa presha, katangaza Kirin 9006C(chip) ya 5nm tech

    This is impressive. Hongera zao kwakwel
Back
Top Bottom