Kwa hiyo hiki ndio kikosi chake serious!!! 😆😆 Huyu kocha bhana, kwanza wachezaji wake aliowaleta wote wamefail...Anthony, Van de Beek, Malacia, Lisandro pekee ndio anaonekana mtu. Hawa kina Martial aachane nao mapema huwezi kuwa na mchezaji mvivu kiasi hiki, Rashford anapambana lenyewe...