Recent content by Arsenali

  1. A

    Ni mahali gani Dar pa kufungua zahanati ?

    Unapatikana wapi mkuu nipo serious na hii issue
  2. A

    Ni mahali gani Dar pa kufungua zahanati ?

    Kwa wadau waishio wilaya ya Temeke nawaomba mnitajie ni wapi pa kufungua zahanati binafsi penye uhitaji huo !!
  3. A

    Bado miaka miwili uchaguzi; Je, wapinzani mkishindwa mtasema mmeibiwa

    Wanashiriki je anaeshinda ndo anaetangazwa ? Pia wao ccm kampeni wanafanya mwaka mzima na wenzao UKAWA wanafanya kampeni mwezi mmoja tu watawezaje kushinda ? !UKAWA wanapambana na ccm,polis na mahakama je watashinda ! But Time will tel
  4. A

    Bado miaka miwili uchaguzi; Je, wapinzani mkishindwa mtasema mmeibiwa

    Huwezi pambana na mtu aliekufunga mikono na kukuziba macho huwezi shinda ccm endeleeni kushindana na kivuli mtashinda kila kiti hata njaa mtashinda tu ! ccm oyeee !!
  5. A

    Unajua wanaobeba madawa tumboni wanaingiziwa kinyume na maumbile?

    Duh hata mi ndo naelewa leo kwanhiyo nikisikia hivyo ndo laberbend imeondolewa huko nyuma ?
  6. A

    Mgombea ubunge Siha afarijika kuona bendera ya CHADEMA

    Wananchi wenzangu wa Siha toeni adhabu kali kwa huyu Mollel msimpe kura tena kwani aliwaacha na njaa akakimbilia kwenye shibe hawapendi huyu mtu kabisa nankama angewapenda angewatete ila nawaamini watu wa Kaskazini sana sio wa kudanganyika hasa wa Siha pigeni chini huyu kibaraka chukueni elfu 7...
  7. A

    Wananchi wa kinondoni na SIHA mkiwachagua hawa waliowasaliti mkapimwe akili

    Tumeamua kumnyima alitusaliti hawa ni aina ya madokta wanaotoa siri za wagonjwa nje hatumpiiiii
  8. A

    Vyombo vya utangazaji viache kuajiri watangazaji vilaza; wanafukuza wateja

    Kuna mtangazaji mmoja kule Arusha Triple A anaitwa Masai yaani ukisikia anajadili au anaendesha kipindi na mwenzie yeye ni kudandia mazungumzo ya mwenzie ili aongee yeye tu anakera sana hadi unahamisha station hampi mwenzie nafasi nae aongee anajiona ndio oxygen ya Triple A ! Aache ushamba wa...
  9. A

    Ni mahali gani jijini Dar penye uhitaji wa huduma ya afya pa kufungua zahanati?

    Wana jf wenzangu naomba mnisaidie kupata sehemu au maeneo gani ya kuweka huduma za afya ? Nataka sehemu zenye sifa zifuatazo ,nyumba iwe inafikika kwa gari , nyumba iwe na vyumba visivyopungua kumi , isiwe karibu na bar na zahanati ingine jirani , isiwe inawapangaji wengine ndani nk
  10. A

    Zitto Kabwe: Tunaomba pesa ili kuimarisha chama

    Pole umebaki peke yako mtoa mada limekuganda hilo !!
  11. A

    Hussein Bashe: Nilimwambia Rais, mimi siendi kuwa Mbunge wa ndio mzee

    Mbona wataondoka wengi ccm ni wakati tu haujafika ngoja wachote kwanza hela wabunge wa ccm sio wote wanashabikia ndio mzee kama huyu kihiyo nkamia wapo waelewa tungoje muda tu . Mi nawafahamu kama wabunge 15 wataondoka itakuwa ni anguko la massisiem ! Wao wanawanunua madiwani UKAWA wanachukua...
  12. A

    Mnapolalamika hatuwafikishi muangalie na mileage zenu

    Tehe tehee halafu unakutana na mwanamke unavyoingiza anafurahia sana na anakupa ushirikiano baada ya muda anakwambia ingiza yoootee sasa unamuuliza niitoe wapi ndo hiyo hiyo niliyonayo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  13. A

    Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

    Hata mi ni mkatoliki wa kuzaliwa ,kubatizwa na ndoa lakini kitendo cha pengo kimenifedhehesha sana ina maana anafurahia jinsi nchi inavyoenda ? Mauaji ,utekaji na uvunjifu wa katiba haoni ? Bora angekaa kimya kuliko anavyojibu jibu Au ule mgao wa escrow ndo unamfanya ajiTIE yupo karibu na...
  14. A

    Kati ya madiwani wote pamoja na DC anaetuhumiwa kuwanunua,ni nani kati yao amejitokeza kukana japo zile sauti tu?

    Kama wameumbiwa ubishi wakanushe waone ndo tulete picha yenyewe hicho ni kionjo tu
Back
Top Bottom