Ni mahali gani jijini Dar penye uhitaji wa huduma ya afya pa kufungua zahanati?

Arsenali

Member
Sep 12, 2017
24
16
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie kupata sehemu au maeneo gani ya kuweka huduma za afya ? Nataka sehemu zenye sifa zifuatazo ,nyumba iwe inafikika kwa gari , nyumba iwe na vyumba visivyopungua kumi , isiwe karibu na bar na zahanati ingine jirani , isiwe inawapangaji wengine ndani nk
 
Temeke Mwisho demand is high, ni PM kwa maelezo zaidi,lipo jengo jipya na unaweza kukata vyumba upendavyo as per your requirements
 
Ukipata sehemu mbagala kuna watu wengi dispensary ni chache Sana
 
Back
Top Bottom