Recent content by aron lissu

  1. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    kaka unaweza kunipa road map na jinsi ya kusoma cybersecurity?
  2. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya bima za afya

    Nikupe ya vifurushi vya jubilee insurance
  3. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Huduma za bima. Bima zote ikiwemo bima za magari, pikipiki bajaji nk Bima za Moto,wizi,afya nk Tupo kigamboni ferry 0715174181
  4. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    Sure nyepesi sana
  5. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi nzuri ya kusoma

    Hi ipo vzr ???
  6. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Tickets muhimu nakutoa majina halisi wakati unakata tiketi
  7. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    hapana mkuu, iwe bima ndogo ama kubwa swala kuhesabu siti ni lazima, mfano kwahio third party kwa mabasi ya mkoani ni elfu 30 per seat then total ya seats zidisha kwa hio hela plus VAT 18% ndo kiasi anacholipa
  8. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    kwa sheria ya bima ya vyombo vya moto sura 169 kifungu namba 4(1) kinatoa haki ya ulinzi kwa mtu wa tatu kutokana na ajali, vigezo vinavyohitajika kwa abiria ili aweze kupatiwa fidia ni pamoja na tiketi ya safari.( kama imepotea kutokana mazingira ya ajali basi ataje majina yake halisi kwa...
  9. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  10. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: insurance underwriting and marketing Experience: 1 year Education: bachelor degree Location: mbezi Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
  11. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Degree ya Insurance Tanzania

    Nenda Ifm usome part time naona itakuwa rahisi kwako Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
  12. aron lissu

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumuombee ashinde kwa crystal ili game letu awe tyr na uhakika wa kubaki ligi kuu hatokaza sana
Back
Top Bottom