Recent content by Arnold Ringo

  1. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe na ufisadi mabehewa feki

    Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu kashikwa pabaya
  2. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni, akabidhiwa Ilani ya CHADEMA, Vipaumbele na Muongozo wa CHAMA

    Tafauti itaonekana sasa maana wananchi walichoka na ccm
  3. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Uchaguzi Arusha: Wananchi waikata ccm kabla ya Kampeni

    Katibu wa Chadema kata ya Themi ndio natoa ushuda
  4. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Uchaguzi Arusha: Wananchi waikata ccm kabla ya Kampeni

    Leo Mwenyakiti wa Chadema kata ya Themi Arusha Arnold Ringo Wananchi wamemsimamisha kwenye matangazo ya kampeni na kumwambia hakuna haja ya kampeni kwani wananchi wa Arusha wanajua Rais ni Lowassa, mbunge ni Lema na Diwani wa Themi ni Venance Kinabo
  5. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    Tutaona nakusikia sarakasi nyingi sana za ccm ambazo zitaenda kuishia october
  6. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha wapigana kisa UBUNGE

    Kwa namna hii ccm hamna chenu Arusha
  7. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania CCM waaibika Arusha

    Hii ni Aibu na kutokukubalika kwa ccm Arusha ndio wanaona wafanye haya
  8. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

    Naona ccm mepata kiwewe sana
  9. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM Yashindwa Hoja na Halima Mdee

    Ongera sana kamanda Mdee Watanzania wanaimani kubwa na wewe
  10. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

    Mwenye macho ambiwi Tanzama Watanzania mwaka huu wanamacho makali sana nimatumaini yangu mwezi wa kumi hawatafanya kosa
  11. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Mkutano Wa Hadhara Wa Baraza La Vijana Wa CHADEMA Mkoa Wa ARUSHA

    Asante Kamanda Chademakwanza kwa taarifa
  12. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Wapiga Tatu Kwa Mpigo Kujiimarisha

    Asanteni Sana Vijana wangu wa Bavicha Mnafanya kazi iliyo TUKUKA
  13. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara Chadema kata ya Themi

    Hakuna aliyepigwa nakukaribisha kesho ujione siasa za kistarabu za chademe kesho
  14. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara Chadema kata ya Themi

    Asante Sana Kamanda Chadema Kwanza Kesho tutakua kwenye viwanja vya Hamad karibu na nanenane njiro tutakua naviongozi wengi sana wa Chama karibuni sana
  15. Arnold Ringo

    JamiiForums Tanzania Mungano wa UKAWA - Kazi Imeanza

    Ukawa tupo na Nyie kwa Asilimia zote mia ndio wakombozi wa wanyonge na wakweli asanteni na Mungu azidi kuwapa nguvu
Back
Top Bottom