Serikali ya CCM Yashindwa Hoja na Halima Mdee

Haki daima. Mbunge kawapigania waliomtuma bungeni na waziri kwa kutumia mamlaka aliyopewa na dhamira ya kweli kawapa haki yao. Eneo lipimwe haraka wanananchi wawe huru na walipe kodi za ardhi na majengo serikalini.
HONGERA KAMANDA MDEE
 
Kamanda Mdee amefanya kazi iliyotukuka tayari kafanya kinachostahili
 
Lukuvi Kwa hili wewe ndiye shujaa Kwa utawala wa kikwete pia nikushukuru Halima mdee na Diwani na mwenyekiti mpya wa serikali ya mtaa kutoka Chadema
 
Hapo Halima jembe
Pili,ccm inatafuta Huruma october 2015, kule zanzibar kuna eneo linaitwa Legeza Mwendo
 
Kama halima anauwezo wa kumaliza mgogoro kwaini hajamaliza yeye mpaka amekuja Lukuvu ndiyo mgogoro ukaisha kwahiyo ujue kuwa bila serikali ya ccm kutia miguu hapo mgogoro usingeisha.

Wewe kibaraka wa CCM aliyefanya kazi ni Mdee kama asingesema yote hayo nan angewakumbuka wananch wale CCM kama gari la mkaa haliwaki mpaka lishtuliwe likifika mliman lazima uweke gogo
 
Hahaha
 
Mhe Rais alichelewa sana kumpa lukuvi hiyo wizara, Hongera sana mhe waziri na wadau wote
 
Back
Top Bottom