Ccm Arusha wanahangaika bure pamoja na kuwatandika uchaguzi wa serikali za mitaa bado wana imani?ccm mtachinjana hata kuuana jimbo la Arusha mnahangaika bure
Hivi Arusha kuna Jambazi zaidi ya Kichaa Lema. Nyari atamfuta kwenye ramani peupee
Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema
Hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini
unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Maccm kwa kukumbatia majambazi,
Justine Nyari alifungwa miaka 30 jela kwa ujambazi wa kutumia silaha baada ya kuvamia Arusha Duty Free, eti baadaye akatolewa kwa msamaha wa rais, hapo hapo akapewa ukamanda wa vijana wa ccm.
Jumanne Mjusi alifungwa jela maisha kwa ujambazi, akatolewa kwa msamaha wa rais na leo ni green guard...
Hiki chama kinawakumbatia sanaHivi ccm inasiri gani na majambazi? Huko moshi mjini kuna jambazi lingine davis mosha mwizi mkubwa wa magari na biashara ya madawa ya kulevya
Kwa namna hii ccm hamna chenu ArushaHayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema
Hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini
Bahati mbaya sana Hata ukimlaani Lema utamaliziakwa kumbariki GOD BLESS LEMA.Ndio maana CCM hawajui nini kinawamaliza.Lema amekubalika sana Arusha
Bahati mbaya sana Hata ukimlaani Lema utamaliziakwa kumbariki GOD BLESS LEMA.Ndio maana CCM hawajui nini kinawamaliza.
Umenena sana Kamanda Lema ni Lulu ya Arusha watu wa Arusha wanasema Lema ameletwa na Mungu walikosa kiongozi shupavu kwa miaka mingi
Nilipita Arusha Ongera sana Mh. Godbless J. Lema Umeifuta kabisha ccm ArushaLema ni jembe. Jiji la Arusha chini ya Chadema like poa sana. Mapato juu, barabara safi, dampo zimetoweka, tunejua haki zetu na hatuogopi watawala bali tunawaheshimu, hospitali ya mama na mtoto inajengwa, ambulance mbili zinakuja, BVR zimeongezwa matafufu, wananchi wamejiandikisha kupiga kura kwa wingi na kuzidi makisio ya time nk. Oktoba tunachukua ikulu. Nani anabisha?