Recent content by Aristotle J8

  1. Aristotle J8

    Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

    Kilakitu Mpaka chululuu?!😂😂
  2. Aristotle J8

    TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Nawaza mara mbili mbili nini sababu? Au kunalililonyuma ya hili?
  3. Aristotle J8

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Stori ya Adam na Hawa(Eva) hii ni stori yakubuniwa yenye lengo la kuwabadiri watu wa mwanzo waliokuwa wanaabudu nyoka hivyo ikabidi itenhenezwe stori itakayomwonesha nyoka jinsi alivyo Mbaya
  4. Aristotle J8

    Biashara ya Laptop imepamba moto sana

    Jamani haya matangazo ya Laptop na Tablet ni mimi tu nayaona au Bongo biashara inayalipa wiki mbili hizi ni Laptop za Hp[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Aristotle J8

    Msanii aliyeimba nyimbo za Bwana wa Mabwana anaitwa nani?

    Wanajukwaa naomba kuuliza ile kwaya ilioimba wimbo wa BWANA WAMABWANA ambayo ROSTAM wametumia sehemu ya wimbo huo kama kiitikio kwenye wimbo wa Kaka Tuchati, kwaya ile inaitwaje? Au msanii anaitwaje!?
  6. Aristotle J8

    Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    Ebu ngoja kwani "kwahiyo harmorapa ni sura ya mungu"
  7. Aristotle J8

    Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    Mkuu jibu gumu hiloo
  8. Aristotle J8

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Mpumbavu nini wewe ushawahi ishi vijijini?! Njoo upigwe ndagu hapa shetani mwenyewe anasubili
  9. Aristotle J8

    Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

    Chamsingi kufunga nikuacha matendo mabaya nakutenda mema sio kubadili diet. Kunamaana gani unacha kula mchana huku usiku unafanya uzinzi?! Kuacha chakula kuendane nakusudio la kuacha maovu kwamajuto kuomboleza na kukiri wazi wazi kuwa ni mkosaji hivyo kusudio lakuacha kula kuwe kama sadaka ya...
  10. Aristotle J8

    Kuahirisha game ya Al Ahly Vs Belouizdad kuna namna?

    Al Ahil kacheza jana kwahiyo asafiri toka Brazil mpaka hapa Africa n kipengere
  11. Aristotle J8

    Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

    Sasa wawe hai wa kazi gani
  12. Aristotle J8

    Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

    Acha bange we mtoto. Suala la kuwaruhusu wabarikiwe mahusiano yao na kuwaombea unakosema wewe kunamahusiano gani? Kashakosea kakosea acha kupalilia makosa huyu Mungu ikimpendeza amchukue tu
  13. Aristotle J8

    Hivi papa nimemwelewa vibaya au ndo kang'amua hivyo hivyo?!

    Yawezekana ikawa ndo safari yangu ya kwanza kurudi kwenye mizimu kuendelea na mambo yanayoendana na uharisia wetu wa Kiafrika Yawezekana ikawa ndo mara yangu ya mwisho kutaja jina Mungu kupitia dini ya kikatoriki Mwenye uelewa mpana anisaidie hivi Karuhusu watu wa jinsia moja kufunga ndoa au...
Back
Top Bottom