Recent content by arifmogul

  1. arifmogul

    Mfumo wa LUKU warejea

    We unaleta siasa ndugu kwenye vitu vinavyoonekana kwa macho.
  2. arifmogul

    Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Inakaribia masaa 24 sasa hakuna huduma ya luku
  3. arifmogul

    Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    现在你不会教学生你伟大的魔法故事,顺便说一句,祝你好运[emoji120][emoji120][emoji120]
  4. arifmogul

    Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

    Mayala ama malaya mbona jina linachanganya
  5. arifmogul

    Mrisho Gambo: Royal Tour imeleta mafuriko ya Watalii Hotel zote za Arusha zimejaa hadi mwezi Disemba!

    Watalii huwa wanafanya booking ya kutalii kwa muda gani, wanafanya mwezi mmoja kabla y kuja ama?
  6. arifmogul

    Wanawake tulieni kwenye ndoa zenu

    Juzi naona Carol Ndossi anasema mwenza kushika simu ya mwenzie ni kosa kisheria hata sijui sheria yenyewe kaitoa wapi, madanga na malaya wakashangilia sana. Btw watu wamekua sio waaminifu tena uzinzi umetawala kila kona na hawa motivation speaker kwa kutaka ku-gain followers na kupiga pesa...
  7. arifmogul

    Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

    Hiyo hata Magufuli alihasema lakini ilikua ni kung'ata na kupuliza. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan yuko sahihi kabisa kufuta kodi za miaka zaidi ya miwili iliyopita. Mimi baba yangu alikua analipa kodi na risiti zilikuwepo kilichotokea mwaka juzi akaletewa deni la mil 90 la miaka 5 ilopita...
  8. arifmogul

    Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Pole sana ndugu Mungu azidi kuwafariji
  9. arifmogul

    Tufahamishane maneno ya lugha za kigeni yanayotumika katika lugha ya Kiswahili

    Watidhee(Kipare) What is that(English)
  10. arifmogul

    Naomba nipatiwe elimu kuhusu umaliziaji wa kujenga nyumba juu (Gypsum Board na PVC Board)

    Tumia hata hii ya kibongo @13,800 nimenunua 100 leo Kariakoo zimefika salama kabisa site usi complicate sana hazina issue
  11. arifmogul

    Naomba nipatiwe elimu kuhusu umaliziaji wa kujenga nyumba juu (Gypsum Board na PVC Board)

    Bodi zipo za 14,000, 17000 na 25-30,000 Tofauti hapo ni kwamba kila kampuni inajinadi kuwa zao ni bora zaidi ku-resist moisture, water and fire ila mi naona kawaida tu zote. https://instagram.com/pilot_constructions?utm_medium=copy_link
Back
Top Bottom