Recent content by Argus

  1. Argus

    JamiiForums Tanzania Arsenal hatoshinda taji lolote kwa mismu huj wa 2024/25

    Hili Lipo Wazi, Kitendo Cha Wao Kutosajili Striker Wa Maana January Ilikuwa dalili Tosha Kuwa Hawapo Serious Na Ubingwa Wowote.
  2. Argus

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Link Ya Game Wakuu
  3. Argus

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

    Biashara Ya Matunda Naona Ipo Vizuri Kwa Ninavyoiona Hususani Hapa Mtaani Kwangu. Cha Msingi Usafi na Ubunifu tu.. Changamoto ya Biashara Ili Ifanye Vizuri ni Hadi Uipende Kwanza Wewe Ndo Maana Wazo Zuri La Biashara Ni Lile Linalotoka Kichwani Kwako Kulingana na Mazingira Yako.
  4. Argus

    JamiiForums Tanzania Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

    Tim Cahill, Craig Bellamy, Jo, Dirk Kuyt, Andrey Arshavin, Gabriel Agbonlahor, Jermain Defoe, Bent & Peter Crouch [emoji1487]
  5. Argus

    JamiiForums Tanzania Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

    Demu alishaeleweka mapema kuwa ni muuzaji, Hapo ilikuwa ni Kula mzigo mapema unatembea.. Mambo Yasiwe Mengi.
  6. Argus

    JamiiForums Tanzania Huyu coach wa Simba Fadlu Davids na viongozi wataikwamisha project ya Simba, wana wenge sana

    Mayele alifunga ya mechi yake ya kwanza tu, Ngao ya jamii dhidi ya Simba.
  7. Argus

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Show ya Burna Boy( NYC) imejazwa na wanaija

    Alitakiwa ajaze akina nani?
  8. Argus

    JamiiForums Tanzania Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

  9. Argus

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Kifupi ni hakuna njia rahisi ya kutengeneza hela.
  10. Argus

    JamiiForums Tanzania Nakushukuru Nabi

    Jerry Muro Hakukosea Kuiita Yanga Ya Kimataifa.
  11. Argus

    JamiiForums Tanzania Akinyi Must Die (Ni lazima Akinyi Afe)

    Sasa Ni Mwendo Wa Simulizi, Moto Unawaka JF.
Back
Top Bottom