Wakuu habarini! Laptop yangu ni Dell,,mwanzoni tatizo lilikuwa tu haitoi sauti, kwa Sasa hata chaji haiingizi,,yani unaiweka kwenye plug kitaa cha moto kinatetemeka tu na ni ktk wekundu wake tu,,ukiichomoa inazimika hapohapo.
Maaana hata wa mawazo wakuu!
Sent using Jamii Forums mobile app