Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,235
- 7,309
kuna vinyoka vidogo vya kijani naviona sana huku pwani kwenye minazi na miarubaini usidhani ndiye green mamba..... green mamba ukitaka kumjua vizuri nenda moshi vijijini kule halafu tembelea mito ya huko uonane na nyoka mshenzi na mjanja sana green mamba.yGreen mamba hata siyo hatari kama mtoa mada ambayo anataka kutuamininisha na thread yake , nimecheza nao sana , Ukifika machame nkuu muulizie Riri utaambiwa tabia yake ya kuwafuga hawa viumbe since Akiwa std 2 Mpaka sasa hivi kaachana nao kashakuwa mkubwaaa

