Tatizo sio ssi kaka mkubwa unaweza ukalenga kuwa na mtu mmoja alafu yeye akashidwa kukuvumilia labda kiuchumi au kwakutamanishwa na wengine ko anapo ondoka na kukuacha kwenye maumivu nawewe ukawa bado una muhitaji
ATA akija mwingine uwezi kutulia naye kwasababu unakuwa na wasiwasi wa kubaki...
Siku pingi kaka asa unakuta unataka kupona. Na manzi mmoja lakin mizinga anayo kupiga ata familia yako ikijua itataka kuingilia Kati na usipo jiongeza umkatae una pigwa mapigo ya jack chan drunk style bana kma Dem anaomba Sana ela tena ela ambayo iko juu ya matumizi yako piga chin mzee mwenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.