Recent content by architect astely

  1. architect astely

    Nahitaji mchango wa mawazo

    Habari yenu wadau wa jamii forum..i hope kila mmoja anaendelea vizuri katika harakati zake za kila siku za kusaka mafanikio.Kuna jambo naomba kuuliza kwa yeyote ambaye atakuwa na mchango wa mawazo ntashukuru sana. Kuna biashara nafikiria kufanya, nataka nianze kununua miogo mikavu kutoka kwa...
  2. architect astely

    Mkurugenzi mpya NSSF kuwa makini na Magori na Eunice Chiume, watakuharibia kazi

    Pumba tupu...hamna cha maana ulichoongea
  3. architect astely

    Rais Magufuli, Unakataza Matumizi Yasiyo na Faida kwa Taifa! Mbona wewe Unatumia?

    wewe na huyo mtoa mada ndo majipu..hamjaona vitu vya kukosoa nn!!!![emoji57] [emoji57]
  4. architect astely

    Rais Magufuli, Unakataza Matumizi Yasiyo na Faida kwa Taifa! Mbona wewe Unatumia?

    Alipiga simu kwa kutumia namba ya office as president au alitumia namba yake binafsi?? just wewe mtoa uzi kumbuka apart from being a president naye ana maisha yake as a person..analipwa mshahara kama wafanyakazi wengine wa serikali so ni possible alinunua vocha yake binasfi na akapiga kama...
  5. architect astely

    Huu ujambazi unaoendelea mwisho utakuwa ugaidi

    Kweli kabisa mkuu..ilo nalo liangaliwe
  6. architect astely

    Huu ujambazi unaoendelea mwisho utakuwa ugaidi

    Yeah ni kweli.. hapo kutakuwa na mengi sana yanaendelea.Hao wanaweza wakawa ni zaidi ya majambazi
  7. architect astely

    Huu ujambazi unaoendelea mwisho utakuwa ugaidi

    Ndugu wanajamii forum,nimechukua mda kutafakari haya matukio ya ujambazi yanayoendelea kutokea hapa nchini kwetu,tukiyachunguza kwa idadi ni matukio mengi ndani ya mda mfupi na raia kadhaa washapoteza maisha.Napenda nitoe rai kwa serikali na vyombo vya usalama vya nchi yetu kwamba kwa sasa...
  8. architect astely

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    hongera brother...habari njema hiyo
  9. architect astely

    Siku 100 Za Rais Magufuli Zinavyojadiliwa na Wadau

    Kwa kifupi tu kwa hizi siku 100 rais jpm amejitahid sana kufanya mabadiliko ktk sekta kadhaa hapa nchini.Na jambo zuri zaidi rais amesimamia vizur ukusanywaji wa mapato ya serikali na kuwawajibisha wakwepa kodi.Kwa mtazamo wangu naona ameanza na sehemu muhimu kabisa kwa maendeleo ya nchi yeyote...
  10. architect astely

    Alikiba anajua muziki zaidi ya Diamond

    Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka kipindi walichoanza kujulikana kimuziki nikaja gundua kuwa Alikiba anakipaji na anajua mziki zaidi ya...
  11. architect astely

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Changia kulingana na mada husika..don't be personal bro & also don't be emotional as well
  12. architect astely

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    watanzania yatupasa tuuweke udini pembeni..tusichukie mafanikio ya watu fulani kisa tu ni dini fulani na wala tusijekuchochea mambo ambayo si ya kweli kisa watu wa dini fulani wanafanikiwa..kwanini tushindane kwa vitu vya kidunia wakati tunaamini fika ni vya kupita..baraza au wizara kuwa na...
  13. architect astely

    Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Magufuli hajazuia uwekezaji bali kazuia kuwekeza katika eneo ambalo ni kwa matumizi ya public.Coco beach ni eneo ambalo kila mwananchi mwenye kipato na asiye na kipato anaweza kwenda kujipumzisha bila kulipa chochote..Kumruhusu manji awekeze pale ni sawa na kuwanyima nafasi wale ambao hawatoweza...
  14. architect astely

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    kabla ya kuleta mada hapa kaa chini na utafakari..acha kukurupuka
Back
Top Bottom