UTANGULIZI:
Elimu ni ujuzi, maarifa au utaalamu anaopata mtu kutoka kwa mtu, mashine au uzoefu kutoka katika mazingira aliyopitia.
Hata hivyo elimu inaweza kuwa Rasmi au isiyo rasmi. Elimu rasmi ni aina ya elimu inayohusisha usajili wa wanafunzi na kuwaweka darasani kwaajili ya kujifunza kwa...
#Storyofchange2023
Mwandishi: Wa Kale
Mawasiliano,
Email: officialmapatotz@gmail.com
Simu: +255745922142
Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu.
Ikiwa...
Katika jamii zetu yapo makundi Mbalimbali ambayo yanakumbwa na unyanyasaji, Ubaguzi pamoja na ukatili. Licha ya kuwa wapo watu wengi ambao wankumbwa na hali hiyo ila nitajikita katika makundi maalumu. Makundi hayo yapo katika mgawanyo huu:
Makundi haya kila kundi linachangamoto yake na...
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.
=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini...
Asante kwa fursa hii, Lakini nina wasiwasi kama mshindi atapatikana kwa kura basi siyo kwamba linataftwa andiko bora bali lenye kura nyingi.
Ikumbukwe kuwa mtu anaweza kuwa na Andiko bora ila asipate kura. Nashauri, wataalamu wapitie na kuangalia ni nani kaandika andiko bora lenye kugusa...
"Sukuma Ndani" Hii kauli naikumbuka kila ninapoangalia Jinsi ambavyo Viongozi Wa Upinzani na Wanaharakati Wa Tanzania Wanavyo Sota kila Wiki ndani Ya Siku Saba (7).
Utakuwa ni Mgeni wa Siasa kama Hujui kinacho wakuta Wapinzani Nchini Tanzania.
Kinachoniuma ni hii ya "Siku Saba Kuzimu"...
"Mwanini Vijana Hamtaki Kuoa?"
Tumeanza na Swali Sasa Tujadili: Ukiwahi kuoa mara tu baada ya Uchumba Unaweza Kuoa Mtu Usiyemjua Tabia.
Pia Vijana Mkichelewa Sana Mnaonja Asali.?
Tuambie Kipi ni Kipi?
"Wakili Fatma Karume Asimamishwa Uwakili kwa Kosa la Kutoa Maneno Machafu Mahakamani" Taarifa inasomeka hivyo. Sasa Suala la kujiuliza Fatma Wakati anatoa Maneno Hayo Mahakamani alikuwa amesahau Sheria Inasemaje?.
Au anatetea Sheria Wakati Haijui. Kanumba Ndiyo Maana alikuwa Hawaamini wanawake...
Nimesoma Taarifa inayosambaa Kwa Kasi Kuhusu Fatma Karume Kusimamishwa Kufanya Uwakili wake "Tanzania Bara" Nikajiuliza Maswali Mengi...!
Lakini Zaidi nikashika Neno "Tanzania Bara yaani Tanganyika" Nikaona Dhana ya Muungano Inaanza Kupoteza Maana. Yaani Ukizuiwa Zanzibar Unaruhusiwa Kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.