Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

Sasa hayo makucha ya Serikali au Mahakama? Kiumweli nainaga FK pale Masaki haifanyi shughuli za uwakili zaidi ya propaganda
 
Je kwani hawezi kwenda nchi nyingine akawa advocate huko Hope Vyeti vyake international
hana hoyo shida familia yao ina vitega uchumi tele baba yake anamiliki mameli makubwa ya mizigo so anaweza tu kusimamia moja wapo za nyingi ya shughuli zao za kiuchumi.
inshort huko "kutumbuliwa"uwakili gakumtetereshi unampa sababu za ziada kufanya vutugu zake za kiuharakati
 
Fatuma kawa suspended kwa contempt of court.
Hili ni funzo kwa mawakili wanaochipukia haswa Peter Kibatala huwa anapata mihemko ya kisiasa,pindi anapovutwa shati kisheria mahakamani
Kwa mwanasheria kusimamishwa si jambo la ajabu,wakili Hamidu Mbwezeleni au Zakaria Maftah(nisahihishwe) aliwahi kusimamishwa,ilibidi akafanyie kazi Zanzibar aliteseka sana kwa kupambana na kesi za kuibiana nazi
 
Nimesoma Taarifa inayosambaa Kwa Kasi Kuhusu Fatma Karume Kusimamishwa Kufanya Uwakili wake "Tanzania Bara" Nikajiuliza Maswali Mengi...!

Lakini Zaidi nikashika Neno "Tanzania Bara yaani Tanganyika" Nikaona Dhana ya Muungano Inaanza Kupoteza Maana. Yaani Ukizuiwa Zanzibar Unaruhusiwa Kufanya Tanganyika. Basi hii itakuwa Kama ni Nchi Mbili.

Mimi naona Hili Suala la Kutaja "Tangangika au Zanzibar Likome" ibaki Tanzania. Kwani Hatuwezi Kupata Tanzania Bara Hili Suala nakataa kwakuwa "Tanzania Imetokana na Muunganiko Wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo pia hatuwezi Kupatan Tanzania Visiwani.

Najua ni Vigumu kueleweka, Ila kiufupi Si Vema Katika Masuala ya Kiserikali kutajwa Maeneo Haya Mawili kiutofauti.

Mfano. Kama Fatma Karume Kazuiwa Uwakili basi Iwe Tanzania Na siyo Siasa Za Tanzania Bara, Tanzania ni Tanzania tu. Hakuna Bara wala Visiwani.

Kama Mnaona anafaa kufanya Kazi Zanzjbar Basi Hata Tanzania Bara Mnayoitaja anafaa Kwani narudi kwenye dhana ya Mwanzo "Tanzania ni Moja" Kama Tanzania Bara ni Tofauti na Zanzibar Tuwekeni Wazi.
 
Mkuu;
Kasome Katiba ya Tanzania Sura ya Tano utapata jibu lako!
 
Mfano. Kama Fatma Karume Kazuiwa Uwakili basi Iwe Tanzania Na siyo Siasa Za Tanzania Bara, Tanzania ni Tanzania tu. Hakuna Bara wala Visiwani.
Zanzibar ina mahakama yake kuu
Leseni ya uwakili inatolewa na jaji kiongozi,inamrusu wakili kufanya kazi katika mahakama za Tanzania.bara
Kasome katiba ya muungano.na ya zanzibar,utapata majibu ya kiyakinifu
 
Atulie sa
Technically fatuma ni mwanasheria wa kuandika mikataba ya Barrick,kumpa kesi mahakamani ni kumbebesha matatizo tu
Fatuma hajui sheria,aliwahi ku quote kipengele kilichofutwa,hii ni disaster!
Fatuma yupo too emotional,hii ni disadvantage akiwa mahakamani,ni rahisi kuondolewa kwenye reli
Kila anapokwenda mahakamani lazima alianzishe,aliwahi kudai kuwa kashikwa titi na askari akadai alipwe bilioni.na nusu wakati asakari analipwa na Magufuli 350,000
Leo fatuma kafungiwa kwa contempt of court,katoa maneno machafu ambayo hayatakiwi kusemwa na learned advocate akiwa mahakamani
Muda wote fatuma anakuwa yupo under influence of foreign substance or concoction!
 
Back
Top Bottom